Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Task za field Ni wale Wauza mabeseni na madeli ya ice cream wanaitwa XS Marketing?Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yeyote.
Anaweza akakupa tasks za field alafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Ndipo uwezo wako wa kufikiria ulipofikiaTask za field Ni wale Wauza mabeseni na madeli ya ice cream wanaitwa XS Marketing?
Mwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yeyote.
Anaweza akakupa tasks za field alafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yeyote.
Anaweza akakupa tasks za field alafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Cottonandmore/Pambanazaidi πPole sana Mkuu.
MPE AMBA KATI CHEMBE KIDEVU LAZIMA AKAE!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Na sasa awe anajua ana back up ya mchepuko ndiyo utajua, women are incompetent and inferior beings!π wapo wengi sana . Women are incompetent usiombe boss mwanamke .
AMBA KATI ni nini?Pole sana Mkuu.
MPE AMBA KATI CHEMBE KIDEVU LAZIMA AKAE!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Interesting πππMwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .
Nilikuwa na mmama incharge alikuwa ana tuendesha sana kwenye kile kidepartment hasa kwa maneno ya ukali na amri zisizo na staha .
Basi siku moja nikaa bar nikawa na kikao na halmashauri ya kichwa changu juu yake , basi jibu likaja kuwa nikiendelea kumchekea kwa ukali mshenzi wake atanitesa sana , nikaamua kumuonesha kuwa simuogopi alafu sipendi kupelekeshwa kijinga .
Siku moja naingia job namalizia kusaini , naye ndiyo anafika eti ananiuliza kwahiyo siku hizi tunafika muda sawa ?
Nakumbuka nilimwambia wewe ulitakaje mrembo ? Kwanza akastuka mimi kumuita mrembo ilihali kwangu ni mmama , akasema unasemaje wewe mtoto nikasema una shida gani asubuhi hii yote mrembo ?
Nikaona walinzi na wafanyakazi wengine waliosikia majibizano yetu wakahamaki na yeye akakosa confidence akavunga akaenda ofisini kwake .
By saa nne kaniita ofisini kwake akiwa na Mfawidhi alafu akaanza kunichana kuwa pombe itaniharibia kazi , nikaona nimtolee uchovu nikamchana kipo napenda na kipi sipendi na pia nikahitaji awe na heshima kwa kauli zake ila kumalizia nikasema mimi nampenda sana na sitaacha kumtongoza .
Muda huo mfawidhi kakaa tu kimya anatusikiliza nacho kumbuka sikumaliza hata mwezi nikala uhamisho niko zangu huku na wanakijiji tunaenjoy pombe ya kienyeji ila yule bi mdashi hata tukutane wapi ananiheshimu sana .
Na hapendi hata tukae meza moja hata dakika kumi maana anahisi nitaanzisha ujinga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Umenifariji kwa namna flani π§’Kama wewe ni employment material, acha tabia za kibeberu, Tabia za Kibeberu ni sisi tunaojitafutia.
Mambo muhimu kwenye ajira :
1. Jifanye fala
2.Jifanye fala
3. Jifanye fala
Pata ujira wako mpaka ujipange, achana na hayo mambo, supervisor ataendelea kuwa supervisor.
Na kwa maelezo yako, hakuna ukilaza wowote kuambiwa unaaga, hayo ni mambo ya kawaida ya ajira, ukiwa na biashara yako sawa.