Niliwahi kufanya kazi na Kampuni moja ya Sola inaitwa Mobisol,kuna kidada Head wa HR alikuwa anapenda sana kuwapanda wafanyakazi vichwani,siku akajisahau kutaka kuniletea za kuleta nikamtukana kwenye simu,Kisha nikampigia simu Mkurugenzi Mkuu nikamwambia amwambie huyo HR wake nitamfira na kumtandika makofi. Siku ya tatu MD akaitisha Kikao cha Senior Officers saba kujadili suala hilo. Mbele ya Kikao nikamwambia MD huyu Mwanamke(Head wa HR) alichonizidi mimi ni umri tu lakini kwa Elimu, Akili na mambo mengine ni takataka kama takataka nyingine tu na akiendelea kuniletea za kuleta naweza kumchapa makofi hata mbele yenu hapa[emoji28]tangu siku hiyo heshima ilichukua nafasi yake
ONYO: Usifuatishe ubabe wangu kama hauna Vyeti na Ajira nyingine. Mimi nilileta ubabe kwa kuwa licha ya kuwa nilikuwa nimeajiriwa full time na hiyo Kampuni,lakini nilikuwa na Kazi yangu permanent Serikalini na kipindi hiko Serikalini nilikiwa Likizo ya masomo,hivyo sikuwa na cha kupoteza