Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

Nilichojifunza makazini watu wengi ambao ni vilaza ila wana vyeo

Huwa wanapenda sana kutumia vyeo vyao kutaka watu watambue mamlaka zao kwa sababu hawana kingine

Mwisho wa siku ndo hivyo wanaleta pigo za kutaka kuheshimiwa au kuwakandamiza wengine
 
Anakutafuta kwenye 18 zake,kuna jambo mnagombea nyinyi ama cheo ama kinginecho🤪
 
kazi za direct sales ni ngumu sana ndugu yanga, na hivyo ndivyo ilivyo.

nikukomaa tu,
vinginevyo utapata tabu sana mtaani ukiacha kaz kwa hasira au kwazo ofisini bila kujipanga,

kaa ukijua anakuogopa pia
 
Mkuu Wenda nakufhamu mm mpia jimefanya Kaz pale mobisoli Kuna mdada mmoja mmeru anaitwa neema alikuwa supervisor wangu yule mwanamke Ni nuksi hatari Ni mnafiki siyo kidgo hiyo Kaz ndio Kaz yake ya Kwanza kuifanya Basi hakujuwa kuwa tumepita kweny kampuni kubwa na tunajuwa kudeal na washenzi

Sitaki nisema sna ila....mwanmke akiwa supervisor Mara nyingi Kaz kwangu haziendi
 
Infact wewe ndiye mwenye matatizo, jichunguze tu taratibu kuna mahali unazingua sana.
...............................
Utanishukuru baadae ukiona inafaa
 
Hahaha,Neema Nassary
Mimi niliyetaka kumtwanga makofi mbele ya MD Mugambi ni Head wa HR Veronika Kahama
 
Una kiburi
 
Sidhani kama ni kilaza kwa mazingira uliyomu address huyo bosi wako ila ana tatizo la usahaulifu ambapo anahitaji apate brain activator ili kumrudisha hali ya kawaida
 
Huu ni unyanyasaji na inaweza ikadaiwa kua ni unyanyasaji wa kijinsia
 
Nje ya mada: kwa wale walioko katika lane ya kutafuta ajira, hakiki mara tatu tatu referee unaemuandika. Budda kama unasoma hapa nisamehe;

Kuna jamaa mmoja ameomba kazi shirika la watu wa nchi flani. Sasa interview process ikaenda kama miezi 3. Baadae akaja kupewa feedback amekosa wameamua kuproceed na a better option. Sasa akapata courage ya kuuliza kwanini ili ajirekebishe labda. Akajibiwa, shida imekuja kwenye recommendation letters. Mbili kati ya tatu zimempondea. Lakin kwa madai yake ni watu ambao alikua na ujamaa nao mzuri tu. Na aliwapa taarifa kuwa watatafutwa wakamwambia hata usijali, ondoa shaka!! Lakin ndo akatumiwa barua na yule HR, waliyokuwa wameyaandika ni disaster. Akasema acha aprove tena, akampanga mtu kwamba ajifanye recruiter, apige simu kwa mmoja wa hao referee. Akapondwa vibaya mno. Sisemi hakuwa at fault, nasema mjue referee wako vizuri....ni hilo tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…