Msaada wachumi, how banks create money?

Msaada wachumi, how banks create money?

Ahsante mkuu nimekuelewa...unaweza ukaongelea pia process ya Credit Creation inavyokuwa?
Ni pale ambapo bank inatoa mikopo Kwa wateja wake na kufanya deposit kwenye account zao, piya pale ambapo bank Ina nunua. Bonds or treasury bills (securtie) Pesa kuingia kwenye mzunguko, wao wanapata Riba na faida kupitia hiyo mikopo or hizo dhamana
 
Piya Commercial Bank zinaweza fanya Creation of money through. Current account, watu Wana deposit cash kwenye account zao wao wanaokuwa wanatumia Cheque kufanya malipo na Kwa Sasa mambo ya digitalization ni mwendo wa internet banking, debit card(viza)
Baadala ya cash
 
Bank ni kama chuma ulete, zinaibia watu pesa. Ukideposit laki haitoki laki, itatoka 98000, tayari buku mbili imeliwa. Ulisema uhihamishe kwenye mtandao wa simu unakatwa 10,000 ..Yani ni mwendo WA kucheza na pesa zako
 
I can’t explain the concept better than that ☝️
 
Piya Commercial Bank zinaweza fanya Creation of money through. Current account, watu Wana deposit cash kwenye account zao wao wanaokuwa wanatumia Cheque kufanya malipo na Kwa Sasa mambo ya digitalization ni mwendo wa internet banking, debit card(viza)
Baadala ya cash
Unaweza ukaongezea nondo kidogo hapa
 
I can’t explain the concept better than that ☝️
Shukrani sana nitaleta mrejesho jinsi nilivyoielewa hii Concept
 
Jinsi ninavyo jua
Kuweka bure kutoa gharama
Mfano weka 10,000 toa 8000
2000 wamebak nayo

Charges and fees
Monthly fees
Statement fees
Balance fees
Card fees

LOAN INTEREST
KOPA
MILLION 10 LIPA 15
WAKAT HUO UMEKOPA ELA AMBAYO MWENZAKO AMEWEKA SAVING
Kuanzia mwanzo umeenda chaka ila hiyyo sentensi ya mwisho ni sahihi sema hujamalizia bado kuonesha kwanini kufanya hivyo ni kucreate money.
 
Saw mkuu ila unge ni correct,
Labda unatak kusema zle bank charges za bank haziwapatii pesa?
Sawa mkuu niwie radhi. Labda kwa kuanzia kuna mkanganyiko nauona kwenye msingi wa swali lako kama nitakavyoelezea.

1. Kwa upande wako naona umetumia term "creation of money" by banks kama "benki kupata pesa, yani banks zinafanyaje mpaka zinatengeneza pesa (mapato).

2.Lakini kiuchumi hiyo term "creation of money" by banks inamaanisha jinsi gani banks zinafanya the general amount of money in the economy (and its effects) kuwa kubwa kuliko pesa ambayo Central Bank ya nchi husika imeitoa kwenda kwenye mzunguko wa uchumi mostly through hizi banks za kawaida.

Sasa mimi nilijibu kwa kuzingatia muktadha wa pili huo hapo juu kuhusu the term "creation of money"

Kama ulimaanisha jinsi gani banks zinatengeneza mapato basi uko sahihi, lakini term "creation of money" by banks mimi nimeongelea huo muktadha wa pili ambao ndo nakutana naao zaidi kwnye mambo ya uchumi.

Asante.
 
Ni hivi Uchumi wa Credit / Mikopo ni kwamba pesa inatengenezwa from thin air (creating money from nothing) na hili linafanywa na mabenki...., Yaani kuliko kuchukua printer serikali na kuprint mapesa bila kujali yatafanya uchumi ushuke (pesa nyingi zitakuwa zinafukuza bidhaa chache) Zamani Ilikuwa Nchi inaweza kutoa pesa kutokana na deposit yake ya commodity fulani mfano Dhahabu; Kwahio Pesa ya kwenye Mzunguko isingezidi mara kadhaa ya deposit ya hio commodity... baadae wakaona hii ina-walimit kufanya mambo wakaamia kwenye mfumo wa FIAT Money

Na baada ya mfumo wa sasa wa FIAT Money ndio maana Voltaire alitoa onyo: “All Paper money eventually returns to its intrinsic value – zero. - Kwamba hizi pesa value yake ni perception yetu tu na hazipo backed kwenye actual commodity kwahio soon or later usishange zikaporomoka

Nikirudi kwenye swali lako Banks Create Money from Thin Air au tuseme kupitia Mikopo.... How? cheki hapo chini...

Wewe una mradi wa Billioni Tatu hizo Pesa hauna... Unakwenda Benki inakupa hizo Pesa..., ingawa nao hizo pesa hawana Inaweza ikawa (IOU) au na wenyewe ni overdraft / mkopo kutoka Benki Kuu.., kwahio wewe baada ya miaka badala ya kurudisha hizo 3b unarudisha Bilioni 3 na Nusu..., kwahio utaona hio nusu imetengenezwa na kuongezwa kwenye mzunguko...

Hence the banks have created and added Nusu Bilioni kwenye mzunguko..., Kwahio hii miradi ndio inaongeza Pesa kwenye mzunguko...,
 
Ceteris paribus

1. benki zinatengeneza fedha (money creation) kupitia mikopo

2. Uchumi unaendeshwa kupitia (economic transaction) buying (nunua) na selling (kuuza)

Mfano:
Mimi natumia DTB bank, Kwenye account yangu ya Bank na 10,0000 (laki), lakini DTB nikiwa na laki bank inanipa mkopo wa 10,000 (elfu 10).

Technically mimi balance yangu ni laki na 10, laki yangu na elfu 10 mkopo

Hapa bank imenitengenezea elfu 10.

Sasa kwenye account yangu naenda kununua bidhaa ya 110,000. Kumbuka spending kwako (matunizi) ni income (mapato) kwa mtu mwingine.

Tuseme mtu wa pili nimenunua bidhaa ya 110,000 kwa kua kwakwe hii ni income anaenda kuweka benk hii 110,000.

Huyu mtu wa pila kwa kuweka 110,000 bank anapata 11,000 kama mkopo, kwa hivyo jumla anakua na 121,000 kama balance

Hapa tena bank imetengeneza 11,000 mpya kama mkopo kwa huyu mtu wa pili.

Sasa hii process kwenye uchumi niatokea mara nyingi sana, ndio maana hata BOT yenyewe credit (mikopo ni mingi) kuliko money in circulation
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa

Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi banks wanatumia kucreate money

Hii Concept imeniwia vigumu sana kuielewa kwani ina kamkanganyiko fulani. Ninaomba kwa anayeielewa vizuri hii Concept atueleweshe nina imani sio mimi tu pia itawasaidia wengine ambao hawakuwa wanaielewa.

Karibuni sana.
 
Saw mkuu ila unge ni correct,
Labda unatak kusema zle bank charges za bank haziwapatii pesa?

Sawa mkuu niwie radhi. Labda kwa kuanzia kuna mkanganyiko nauona kwenye msingi wa swali lako kama nitakavyoelezea.

1. Kwa upande wako naona umetumia term "creation of money" by banks kama "benki kupata pesa, yani banks zinafanyaje mpaka zinatengeneza pesa (mapato).

2.Lakini kiuchumi hiyo term "creation of money" by banks inamaanisha jinsi gani banks zinafanya the general amount of money in the economy (and its effects) kuwa kubwa kuliko pesa ambayo Central Bank ya nchi husika imeitoa kwenda kwenye mzunguko wa uchumi mostly through hizi banks za kawaida.

Sasa mimi nilijibu kwa kuzingatia muktadha wa pili huo hapo juu kuhusu the term "creation of money"

Kama ulimaanisha jinsi gani banks zinatengeneza mapato basi uko sahihi, lakini term "creation of money" by banks mimi nimeongelea huo muktadha wa pili ambao ndo nakutana naao zaidi kwnye mambo ya uchumi.

Asante.
kwako TZ-1 soma tena (nime edit comment ili kuongeza ufafanuzi zaid)

Kwa kuongezea ngoja niweke mfano mmoja kuhusu how banks create money kwa

Mteja A ameweka (deposit) TZS 100,000 kwenye bank, kwahiyo mteja A akilini mwake anajua ana TZS 100,000 yake iko bank. na kimsingi sio tu kujua akilini mwake ana TZS 100,000 bali ni kweli muda wowote anaweza kufanya muamala wowote ndani ya hiyo laki moja.

Sasa anakuja mteza B ambaye ana TZS 0 kwenye account na mfukoni mwake pia.. Sasa mteja B anaenda benki kupata mkopo. Katika ile TZS 100,000 ambayo iko mikononi mwa benki (ambayo mteja A aliweka) benki inaweza kukopesha mpaka maybe TZS 90,000 (90%) ya ile deposit iliyowekwa na mteja n.b asilimia ya kiwango jcha juu zaidi ambayo benki inaweza kukopesha kutokana na deposits iliyo nayo inategemea na regulatory requirements za regulatory authority/ Central Bank. ya nchi husika, kwa Tanzania ni BoT. Kwahiyo mteja B anakwenda bank na kukopa TZS 90,000 na akapewa.

Kwahiyo mpaka hapo myeja A anajua ana TZS 100,000 benki na kimsingi anaweza kuifanyia muamala wowotw. pia na mteja B anajua sasa ana TZS 90,000 benki na anaweza kuifanyia muamala wowote. Kwa hiyo mpaka hapo kwenye uchumi kwa kuzingatia hawa wateja wawili A na yule B kuna TZS 190,000 ambayo inaweza kutumika kwenye transaction yoyote na shughuli za kiuchumi. Kwaio Central Bank iliingiza TZS 100,000 kwenye mzunguko wa uchumi ila sasa kwenye uchumi sasa kuna TZS 190,000. Kwaio hapo benki imecreate money ambayo ndo ile TZS 90,000 iliyoikopesha kwa mteja B. So ilitoka TZS 100,000 ila sasa ipo TZS 190,000.

Kwa hiyo ndio kama hivyo.

Na ndomana banks zina umuhimu sana kwenye uchumi kwani zinaweza kucreate money kama hapa ambapo TZS 90,000 imekuwa created na hiyo bank ya kawaida kwenda kwenye shughuli za kiuchumi, TZS 90,000 ya ziada imekuwa created na bank ya kawaida kutoka kwenye TZS 100,000 iliyotolewa na Central bank. Na ndomana banks zinasimamiwa ili ziwe efficient kwenye iyo process ya kucreate moneywani inaweza kucreate money zaidi ya amount of money iliyotolewa na Central Bank ya nchi (Benki Kuu ya Nchi) hivyo shughuli za kiuchumi zinawezeshwa kupanuka zaidi ya kiiasi cha pesa kilichoingizwa na Cantral bank kwenye mzunguko. Maana jamii ikipoteza trust/kuziamini banks basi jamii itapunguza au kuacha kabisa kutunza pesa zao kwenye hizi bankss hivyo creation of money itapungua na hivyo shughuli za kiuchumi kushindwa kupanuka zaidi ya ile hela iliyotolewa na Benki Kuu ya nchi husika kuingia kwenye mzunguko wa uchumi, hivyo ukuaji wa uchumi wa nchi utapungua.

Sijui imeeleweka wakuu!!

Asante.
 
kwako TZ-1

Ila bank tunakopeshan pesa zetu wenyew ila riba ya mkopo ni kubwa kulko interest for savings
Saving return interest 1.5 up to 3% per year
Loans interest 9 had 17% per year
 
Kwa hii hoja yako riba ambayo anatakiwa kulipa mteja B aliyekopeshwa inakuwa kubwa zaidi ya interest watakayokupa kwenye savings zako (au tuseme ya mteja Ayule) ili benki ziweze kucreate money lakini zipate faida pia mkuu, na zenyewe haziwezi kusurvive bila kupata faida sasa mkuu. Kuna gharama kushughulikia iyo process ya creation of money kuna wafanya kazi, Information Technology (IT) systems, consultants etc. . Sasa inadibi yule mteja B awekeze kwenye shughuli ambayo italeta faida zaidi ya kiasi cha riba ambacho mteja B atailipa benki baada ya kupewa huo mkopo.

Ila creation of money ndo iko ivyo mkuu.
 
kwako TZ-1 soma tena (nime edit comment ili kuongeza ufafanuzi zaid)

Kwa kuongezea ngoja niweke mfano mmoja kuhusu how banks create money kwa

Mteja A ameweka (deposit) TZS 100,000 kwenye bank, kwahiyo mteja A akilini mwake anajua ana TZS 100,000 yake iko bank. na kimsingi sio tu kujua akilini mwake ana TZS 100,000 bali ni kweli muda wowote anaweza kufanya muamala wowote ndani ya hiyo laki moja.

Sasa anakuja mteza B ambaye ana TZS 0 kwenye account na mfukoni mwake pia.. Sasa mteja B anaenda benki kupata mkopo. Katika ile TZS 100,000 ambayo iko mikononi mwa benki (ambayo mteja A aliweka) benki inaweza kukopesha mpaka maybe TZS 90,000 (90%) ya ile deposit iliyowekwa na mteja n.b asilimia ya kiwango jcha juu zaidi ambayo benki inaweza kukopesha kutokana na deposits iliyo nayo inategemea na regulatory requirements za regulatory authority/ Central Bank. ya nchi husika, kwa Tanzania ni BoT. Kwahiyo mteja B anakwenda bank na kukopa TZS 90,000 na akapewa.

Kwahiyo mpaka hapo myeja A anajua ana TZS 100,000 benki na kimsingi anaweza kuifanyia muamala wowotw. pia na mteja B anajua sasa ana TZS 90,000 benki na anaweza kuifanyia muamala wowote. Kwa hiyo mpaka hapo kwenye uchumi kwa kuzingatia hawa wateja wawili A na yule B kuna TZS 190,000 ambayo inaweza kutumika kwenye transaction yoyote na shughuli za kiuchumi. Kwaio Central Bank iliingiza TZS 100,000 kwenye mzunguko wa uchumi ila sasa kwenye uchumi sasa kuna TZS 190,000. Kwaio hapo benki imecreate money ambayo ndo ile TZS 90,000 iliyoikopesha kwa mteja B. So ilitoka TZS 100,000 ila sasa ipo TZS 190,000.

Kwa hiyo ndio kama hivyo.

Na ndomana banks zina umuhimu sana kwenye uchumi kwani zinaweza kucreate money kama hapa ambapo TZS 90,000 imekuwa created na hiyo bank ya kawaida kwenda kwenye shughuli za kiuchumi, TZS 90,000 ya ziada imekuwa created na bank ya kawaida kutoka kwenye TZS 100,000 iliyotolewa na Central bank. Na ndomana banks zinasimamiwa ili ziwe efficient kwenye iyo process ya kucreate moneywani inaweza kucreate money zaidi ya amount of money iliyotolewa na Central Bank ya nchi (Benki Kuu ya Nchi) hivyo shughuli za kiuchumi zinawezeshwa kupanuka zaidi ya kiiasi cha pesa kilichoingizwa na Cantral bank kwenye mzunguko. Maana jamii ikipoteza trust/kuziamini banks basi jamii itapunguza au kuacha kabisa kutunza pesa zao kwenye hizi bankss hivyo creation of money itapungua na hivyo shughuli za kiuchumi kushindwa kupanuka zaidi ya ile hela iliyotolewa na Benki Kuu ya nchi husika kuingia kwenye mzunguko wa uchumi, hivyo ukuaji wa uchumi wa nchi utapungua.

Sijui imeeleweka wakuu!!

Asante.
Mkuu umeelezea vizuri sana na huo ndo ulikuwa msingi wa swali langu

Lakini nina maswali yafuatayo
1.Mfano mtu amedeposit kiasi cha Tsh 100000 na benki ikaweka 10% kama reserve then wakaacha 90000 kama loanable fund.Je mtu aliyedeposit mwanzo akirudi kutoa pesa yake Bank zitakuwa na Pesa ya kukopesha tena?

2.kuna mdau hapo juu ametuma articles ambayo inaelezea Creation of money.Humo wanasema kuwa Credit Creation inaweza kufanyika either Katika single bank or katika banking system Hapo nahisi umeelezea upande wa single bank only unaweza ukaelezea pia katika banking system inakuwaje??

3.katika huo mfano ulioelezea ni kwamba mtu atakayeenda kukopa pesa...huwa anapewa kwa style gani?...Ni cash au??

Karibu mkuu utupe maarifa
 
Bank charges:
Note: Assumption wateja 10000 tu.

1: ATM Withdrawal charges - 800+@10000=8mil

2: Counter Withdrawal charges - 2000+@10000=20mil

3: Salary Processing Fee - 2000+@10000=20mil

4: Loan Application Fee - 1mil, deducts 120k@10000=120mil

5: Monthly Charges - Account Management 1500+@10000=15mil

6: Monthly Loan Repayment - 1m loan, interest 18% annually hence 1.8m (loan 1m+interest 180k) divide 12 months= 98,333.33/=
Note: Wanakuchaji interest ya mkopo wa 1m ilhali wamekupa pungufu 880k, so unalipia makato ya 1mil ambayo hujapewa. Hapo wamekuibia kwenye makato, 880k makato yake ni 73,333.33/= hivo utofauti wa makato 25,000/= kila mwezi@12=1,110,666.62/=

7: Interest Rate -
@ 1 mil@18%=180,000/=
@ 880k@18%=158,400/=
Note: Difference 21,600@12=259,200/=

Total revenues for approximately 10000 customers only (Annualy)
8m+20m+20m+120m+15m+1.11m+259k=197mil

Hesabu hii mara nyingi unakuta ni kama wilaya moja,
 
Mkuu umeelezea vizuri sana na huo ndo ulikuwa msingi wa swali langu

Lakini nina maswali yafuatayo
1.Mfano mtu amedeposit kiasi cha Tsh 100000 na benki ikaweka 10% kama reserve then wakaacha 90000 kama loanable fund.Je mtu aliyedeposit mwanzo akirudi kutoa pesa yake Bank zitakuwa na Pesa ya kukopesha tena?

2.kuna mdau hapo juu ametuma articles ambayo inaelezea Creation of money.Humo wanasema kuwa Credit Creation inaweza kufanyika either Katika single bank or katika banking system Hapo nahisi umeelezea upande wa single bank only unaweza ukaelezea pia katika banking system inakuwaje??

3.katika huo mfano ulioelezea ni kwamba mtu atakayeenda kukopa pesa...huwa anapewa kwa style gani?...Ni cash au??

Karibu mkuu utupe maarifa
Hahaha asante sana mkuu 😂 😂 😂

Unajua kwanini nimecheka? muda si mrefu kuna wazo lilipita kichwani mwangu nikasema kuna mkuu kule jamiiforums anaweza kuuliza swali hili lako kwamba vp sasa yule mteja A akija kutaka ile TZS 100,0000 yake, je bank itawezaje kumpa iyo TZS 100,000 wakati tayari wamechukua TZS 90,000 katika pesa hiyo wamemkabidhi yule mteja B kama mkopo na maybe alivyokopeshwa huyo mteja B tayari sasa ameshaanza kudraw (kutoa pesa hapo bank), ile pesa aliyoikopa kutoka hapo bank? na si hapo tu bali zaidi ni kwamba na baada ya hapo vp bank itapata wapi pia hela za kukopesha tena wateja wengine? (swali lako)

Nimechangia kuongeza swali jingine kwenye swali lako nimelibold hapo juu.

Sasa mkuu jibu ni rahisi sana. Angalia mifumo ifuatayo hapa chini: -
1. Ratiba za madaladala, maboti, ndege, treni na mifumo mingine ya usafiri; na
3. Ratiba za wagonjwa kuumwa.

Kuna mifumo mingi tu ya maisha ya kila siku yametengenezwa na Mungu Mkuu wa Mbinguni (Kwa wasioamini Mungu basi chukulia tu kama mifumo iliyotokea hata ki bahati bahati tu ILA NAJUA UNAUHAKIKA kuwa mifumo hiyo ipo.

1. Sasa hiyo mifumo iko almost balanced (kuna adjustments zinaweza kutokea zinazotokana na matukio/events nyengine) au basi jiulize vp kama kesho wakazi wote wa Dar es Salaam tuamke na wote tutoke labda TEGETA na wote tunataka kutoka hapo TEGETA twende POSTA hiyo siku itakuwaje? Ile ya kufungwa kwa JANGWANI tu watu walijionea kutoka POSTA au K/KOO kufika TEGETA ilivyokuwa . ni gari haziendi,. Naikumbuka vizuri ile kufungwa kwa JANGWANI iliyotokea mwaka I think around mwaka 2020 mwishoni au 2021 mwanzini ikla nakumbuka kama ilitokea mwaka 2020 mwiahoni, watu walifika majumbani mwao USIKU WA MANANE ila bahati nzuri keshoi yake ilikuwa ni sikukuu hivyo wafanya kazi na wanafunzi wemgi walikuwa hawalazimiki kwenda kazini /shuleni.

HIYO NI NADRA KAMA KUTOKEA KWA MAFURIKO MAKUBWA au mpaka TSUNAMI hivyo kuna errors hapa na pale:

Ila kimsingi misingi ya dunia iko hivyo almost balanced kwamba kila mtu ana ratiba zake ila mwisho wa siku mifumo hiyo inajikuta ipo almost balanced. huyu anatoka Posta kwenda Tegeta na mwengine anatoka Tegeta kuelekea Kawe, hivyo hivyo mpaka mfumo mzima unakuwa wote balanced. Mfano wa pili jiulize kama waTanzania wote 60+ million tukiumwa siku moja na kwa wakati mmoja je hospitali zitaweza kutuhudumia? Hapana. Ila inatokea huyu kaumwa leo na yule kaumwa kesho yake ndo hivyo mpaka mzigo wa wagonjwa hospitali unakuwa almost balanced.

Basi ndo hivyo hivyo kwenye mabenki, huyu akija kutoa ile TZS 100,000 mwengine anakuja kuweka TZS 120,000 hivyo hivyo mpaka kiasi cha pesa kilichopo kwenye mabenki kinakuwa almost balanced, na kuna vipimo na sheria zipo kucontrol kiasi gani cha pesa au mali zinazoweza kubadilishwa kuwa posa kirahisi benki iwe nayo wakati wote ili isitokee tukio kama hilo uliloongelea.

2. Katika banking system ni hivyo hivyo.

3. Mara nyingi huwa inabidi ufungue au uwe na account katika bank unayoenda kukopa then wataweka hela humo kwenye account.
 
Dash mkuu umemaliza kila kitu aisee kweli JF ni chimbo la magreat thinker

Ahsante sana mtaalamu nimeshaielewa vizuri hii Concept....Ubarikiwe mkuu🙏🙏🙏hopefully wengine watapata elimu hii pia
 
Back
Top Bottom