Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

Duh!kumbe hapa jamii forum huwa tunabishana na vibabu bila kujua!?[emoji851]yaani kuna watu hadi wana wajukuu humu Jf?
 
Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Mwambie hiyo short cut ni bora zaid kuliko kwenda Advance...
 
Naomba mi unisaidie, kachaguliwa HGK na anataka CBG maana yote alifaulu
Kama ana principal pass ya fizikia aende vyuo vya kati vya afya akasome CEO, pharmacy, Laboratory au Radiology...

NB: Advance apige chini huko hamna kitu zama hizi zaidi ya kupoteza muda na kupata sifa za kijinga tu ....
 
jnategemea huko advanc anaend kusomea nin,pcb ili iweje?
anageenda zake koz ya nursing dip tu kwaza anapata kaz na ka ana kichwa kizur anakuj badae kufanya Md bila shida na experianxe l!! shauri yake
Yaani mnavyo rahisisha😂😂😂😂😂yaani mtoto akasomee ukunga yeye hautaki.
 
Advance itampa uwanja mpana wa kuchagua kozi kuliko hizo za kozi za Afya.
 
Haina Haja ya kumaliza kusoma Mimi Hata sijapoteza mkuu Nina GPA 4.5 na kazi ninayo tena ya mshahara wa watu wanaojiita wa bachelor.

Na niliamua nitarudi shule muda wowote
Yaan hujaona makosa yako??
 
jnategemea huko advanc anaend kusomea nin,pcb ili iweje?
anageenda zake koz ya nursing dip tu kwaza anapata kaz na ka ana kichwa kizur anakuj badae kufanya Md bila shida na experianxe l!! shauri yake
Madam umekosea..Nursing na kusoma MD wapi na wapi? .

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…