Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Kuna asiyelia njaa? Labda mwanaccm, maana ukisema mwanasiasa pia haitoshi.Wakunga si ndio hawa wanaolia njaa huku mitaani,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna asiyelia njaa? Labda mwanaccm, maana ukisema mwanasiasa pia haitoshi.Wakunga si ndio hawa wanaolia njaa huku mitaani,?
Mwambie hiyo short cut ni bora zaid kuliko kwenda Advance...Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Kama ana principal pass ya fizikia aende vyuo vya kati vya afya akasome CEO, pharmacy, Laboratory au Radiology...Naomba mi unisaidie, kachaguliwa HGK na anataka CBG maana yote alifaulu
Yaani mnavyo rahisisha😂😂😂😂😂yaani mtoto akasomee ukunga yeye hautaki.jnategemea huko advanc anaend kusomea nin,pcb ili iweje?
anageenda zake koz ya nursing dip tu kwaza anapata kaz na ka ana kichwa kizur anakuj badae kufanya Md bila shida na experianxe l!! shauri yake
Advance itampa uwanja mpana wa kuchagua kozi kuliko hizo za kozi za Afya.Watu bado wanaishi Kwa maisha ya mazoea Mimi nimesoma advance na nikaacha baada ya kuona naenda kufeli Tu na kupoteza muda.
Nikaenda kusoma course ya Nurse diploma na Nina GPA nzuri Tu,now nimeajiliwa na Taasisi nzuri Tu na Mshahara around 800K take home.
Degree nitasoma muda wowote japo miaka inaenda Ila sijapata sababu ya kurudi shule
Kuna Muda wazazi inabidi muamue ndoto za Watoto wenu hata kama kuna Mambo wanayapenda Sana.
Advance ya sasa Haiko kama ya zamani Demu wangu alipata PCB 1 8 akakosa MD mwaka 2017 akahairisha aende mwaka unaofuata akataka kukosa ndo nikamshauri akasome nursing now Yuko mwaka wa 3 bachelor.
So maisha yamebadilika Sana wakuu
Yaan hujaona makosa yako??Haina Haja ya kumaliza kusoma Mimi Hata sijapoteza mkuu Nina GPA 4.5 na kazi ninayo tena ya mshahara wa watu wanaojiita wa bachelor.
Na niliamua nitarudi shule muda wowote
Madam umekosea..Nursing na kusoma MD wapi na wapi? .jnategemea huko advanc anaend kusomea nin,pcb ili iweje?
anageenda zake koz ya nursing dip tu kwaza anapata kaz na ka ana kichwa kizur anakuj badae kufanya Md bila shida na experianxe l!! shauri yake