Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kuwa mkunga mjinga.Muache aende kidato.Anataka amalize vitu vinavyoitwa "vidato"!Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Nimekuelewa! Zama zimebadilika. Nakaza buti ili tuelewane.Hawa watoto sijui nani kawaloga eti kwenda form five kwao ndio dili. Nina uncle wangu mwaka jana alipangiwa chuo cha MUST course ya umeme eti akataka kubadilisha kwenda form five kashauriwa na baba yake, mimi nikamwambia wewe jaribu kubadilsha ndio utanijua mimi ni nani. Uncle akanisikiliza akaenda MUST kufika kule nikamuombea abadilishe course asome civil kwa sababu tayari kuna watu wamesoma umeme kwenye familia akapata. Leo hii ananipigia simu anafurahia maisha ya chuo na anatarajia kulamba hela ya IPT muda sio mrefu.
Kifupi watu bado hawaelewi kuhusu hizi elimu za vyuo vya kati wao wanadhani five na six ndio dili, hawajui zama zimebadilika.
Ushauri wangu kwako usikubali mjukuu akupande kichwani, mshauri umuhimu wa kwenda chuo tena uzuri ni chuo cha afya, tumia democrasia kumshauri ikishindikana tumia nguvu tena ikiwezekana mwambie akienda form five hutomlipia ada, atakuja kukushukuru baadae.
Hujamuelewa mtoa madaHuwa wanatoa fursa ya kubadili combination/course kila mwaka asijali kama ana ufaulu unaomruhusu
Njia nyingine ni kwenda kwa Afisa Elimu Mkoa (REO) pia huwa wanahamisha ilimradi uwe na sababu ya msingi.
Inategemea ntukuu na ntukuu,mwingne Kwa babu Ndo nyumbnNa hivi ni mjukuu ukimuuzi tu kesho utaona anatoka na begi kwenda kwao.
Ndo ubembeleze weee, ukishindwa mpe uhuru aamue.
Kuna dhamira ya ndani inamvuta kuendelea na kidato cha tano,... kama anayamudu masomo ya combination aliyopo aendelee na F5 aachane na chuo kwa sasa, ILA ahakikishe kuwa anapata division one kwenye mtihani wa F6.... Inawezekana kabisa!.Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?