monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Kati ya kitu unachotakiwa kujua baba anahaki ya kumpa urithi mtu anae mtaka yeye na akaamua kukunyima kwa sababu maalumubas ningejijua sina baba lakin yeye alinikubal kwa moyo wake kabisa kuwa Mimi mwanae hata hii elimu niliyo nayo ya kuunga unga alinipatia yeye
Plus kuweka uadui usioisha kati yake na baba akePole. Achana na mpango wa kushitaki.
Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.
Washukuru wazazi wako, usimlaumu baba maana hujui kilitokea nini akaachana na Mama yako.
Pia huwezi kujua mchango wa mama wa kambo katika mali alizochuma na Baba yako.
Baba katumia busara sana kutokukupa urithi maana mali nyingi zimechumwa na Mama wa kambo na au mama wa kambo ana mchango mkubwa sana katika kuchuma.
Kushitaki Ni haki yako ila itakuumiza maisha yako yote maana Kwanza ni gharama za fedha na muda kufungua kesi.
Tafuta kazi, jitegemee, samehe mara sabini.
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.
Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.
Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.
Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.
Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .
Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
Kuishi bila kuambiwa Baba yako ni fulani..Assume angekuwa baba yake hamjui angefanyaje
angefanya kama Chen nisinge mshtak baba alichofanya sio kawandikisha watoto wa mama mwingine Mimi inamaana Mimi sina hak ya kulisi
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumteteaKawapa kwa sababu ni zake, sasa unataka kumzuia asiwape? Na anakunyima kwa sababu ni mali zake pia, utamalzimisha akupe? Halafu hizo mali kachuma na mama yao? Umeelewa?
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumteteaKawapa kwa sababu ni zake, sasa unataka kumzuia asiwape? Na anakunyima kwa sababu ni mali zake pia, utamalzimisha akupe? Halafu hizo mali kachuma na mama yao? Umeelewa?
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.
Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.
Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.
Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.
Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .
Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumtetea
Weee Jamaa, kwann kijana aliye chuo anasoma ana miaka mfano 25 kisheria sio mtotoMiaka 24 ni mtoto? Hivi hujui kuwa kuna vituo vya kulea watoto wa mitaani? Unadhani hao watoto hawana wazazi?
Mimi sio tegemez nilicho kuwa naomba kwake nikidogo2 chakwanzia maana now cna chochote cha kuanziaAchana na akili ya utegemezi, tumia nguvu nyingi hizo kufanya ubunifu upate kitu cha kukuingizia kipato. Mtoto ni wa mama unaweza kukuta hata huyo unayemsumbua siyo baba yako mzazi. Wamama tuna siri nyingi sana baas tuu watoto hawajui.
Hivi unadhani kila mwanachuo anategemea wazazi?Weee Jamaa, kwann kijana aliye chuo anasoma ana miaka mfano 25 kisheria sio mtoto
Lkn kwann bado hutegemea Baba na Mama yake????
Embu jaribu kua Serious hata kwa kiwango cha ukubwa sawa na punje ya mchele, alafu njoo tuishi kwenye uhalisia wa maisha yetu Bongo.
Usiseme huna cho chote,Mimi sio tegemez nilicho kuwa naomba kwake nikidogo2 chakwanzia maana now cna chochote cha kuanzia