Mimi sio tegemez najilea sawa ninageto lang sawa kwanza usikute wewe ndio kwanza unaishi kwa shemej yako kama huna cha kunishauli kausha ujalazimswa sawa kutoa maon yako hapaNdicho nnachoki maanisha kuwa maamuzi yake ya kumpeleka mzazi mahakamani kisa kuomba msaada anafeli na atafeli vibaya mno!
Hiki kitu ilitakiwa akifanye kipindi anasoma shule, kuwa mimi baba anakataa kunisomesha na kuni sapoti mambo ya shule hii ingeleta maana. Kwa kifupi kakosea target
Ndicho nnachoki maanisha kuwa maamuzi yake ya kumpeleka mzazi mahakamani kisa kuomba msaada anafeli na atafeli vibaya mno!
Hiki kitu ilitakiwa akifanye kipindi anasoma shule, kuwa mimi baba anakataa kunisomesha na kuni sapoti mambo ya shule hii ingeleta maana. Kwa kifupi kakosea target
Una miaka mingapi wewe! Huenda tunaongea na mtoto wa 17yrs..yaan unacheksha Sana aisee huijui dunia wewe...sawa ngoja niende bas mahakaman ili akanipe sababu za kutokunipa nawengine kuwapa
Kwa mentality hii ndio maana baba yako aliamua kukuweka kando na family yake!
Mimi nakaa kwa shemeji sawa lakini siwezi kuomba msaada kwa mtu ambae hana time na mimi
Umri wangu sio wa kulilia urithi tena kwa mtu alie hai yaani hajafariki
Huyo mzee akifariki wewe unaweza hata kuchoma nyumba yake wewe
Umesema wewe ni dereva bajaj lete namba nkuunganishe na bajaj za papaa G uendeshe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nilimaanisha hana chake kiislam, sijui huko kiserikali.
Ila mwisho nitaendelea kumpa lawama huyo mzee zao la yote haya ni upuuzi wake alioufanya miaka 24 nyuma kiimani tunasema kamdhurumu huyu mtoto.
Sasa mtoto anakuwa hana haki kwa kosa silake zinaa za mtu mwengine.
Urithi my footHuyu anafeli tena ana miaka 24 eti analilia urithi?
0625769617Kwa mentality hii ndio maana baba yako aliamua kukuweka kando na family yake!
Mimi nakaa kwa shemeji sawa lakini siwezi kuomba msaada kwa mtu ambae hana time na mimi
Umri wangu sio wa kulilia urithi tena kwa mtu alie hai yaani hajafariki
Huyo mzee akifariki wewe unaweza hata kuchoma nyumba yake wewe
Umesema wewe ni dereva bajaj lete namba nkuunganishe na bajaj za papaa G uendeshe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ninadhani hauielewi kanuni za mirathi ama urithi.acha kukalili nani kasema Mimi ninduguyake? Mimi nimtoto ake sio ndugu yake soma vizur. Nina haki ya kulisi kama hao watoto wengine alio walisisha
Aisee kweli zawadi.Sivan ulozaliwa tu ni zawadi tosha Sana..maana watu wanatoa mimba kubwa tu..so kuzaliwa tu ni zawadi kubwa sana
Huyu dogo hajajitanbua tu. Huyu akomae Sana iki awe na chake. Baba ataona aibu iko siku atamwita atampa kitu chochote kumsogeza. .huhu angezaliwa kwetu angekuwa amejiua zamani...Kuna wazaz wanasaidia nje kuliko ndan.na ukimuuliza anakuambia unanipania hela zako?? Lol...mie sitak kbs kuangalia Mali za wazazi
mzee wangu yuko hivi da alikuSivan ulozaliwa tu ni zawadi tosha Sana..maana watu wanatoa mimba kubwa tu..so kuzaliwa tu ni zawadi kubwa sana
Huyu dogo hajajitanbua tu. Huyu akomae Sana iki awe na chake. Baba ataona aibu iko siku atamwita atampa kitu chochote kumsogeza. .huhu angezaliwa kwetu angekuwa amejiua zamani...Kuna wazaz wanasaidia nje kuliko ndan.na ukimuuliza anakuambia unanipania hela zako?? Lol...mie sitak kbs kuangalia Mali za wazazi
mzee wangu yuko hivyo nilikua naona ananionea nikimuomba gari nikapigie bakora mtaani ananiambia nunua lako da nilipopata kazi tu kitu cha kwanza nikatafuta mpira wa motoo nikaenda kumchapa nao bakora hakuamini alikaa kama mwezi hivi akanitumia sms kuuliza nimenunua shi ngapi ha ha ha ha respect is earnedSivan ulozaliwa tu ni zawadi tosha Sana..maana watu wanatoa mimba kubwa tu..so kuzaliwa tu ni zawadi kubwa sana
Huyu dogo hajajitanbua tu. Huyu akomae Sana iki awe na chake. Baba ataona aibu iko siku atamwita atampa kitu chochote kumsogeza. .huhu angezaliwa kwetu angekuwa amejiua zamani...Kuna wazaz wanasaidia nje kuliko ndan.na ukimuuliza anakuambia unanipania hela zako?? Lol...mie sitak kbs kuangalia Mali za wazazi
Kuna kipindi nilikua stressed Sana back years. Nikaomba him wanipe pikipiki ilikuwepo tu hom haina mtu..aisee..baba alinijibu jibu fyongi. Akaniambia hii ni ya kwangu tafuta yako ..na wasukuma ukishaolewa usitegemee kitu toka upande wa kike I😀..niliumia zaidi ya miaka 2! Mwaka huu juzi tu hapa baba ananiambia aisee Ile pikipiki uloomba uje uichkue..badaye akajifukiria akasema ngj niifanyie kwanza marekebisho nifanye transfer kbs isije kukusumbua ..imagine kitu nimeomba 2011! Anakuja kunipa 2020! Ameona nimekomaa kiakili...ndo namwambia huyu dogo aachane na habari za urithi sijui ulisi sijui urisiWewe kila unachoombwa na mtu huwa unatoa?
mzee wangu yuko hivi da aliku
mzee wangu yuko hivyo nilikua naona ananionea nikimuomba gari nikapigie bakora mtaani ananiambia nunua lako da nilipopata kazi tu kitu cha kwanza nikatafuta mpira wa motoo nikaenda kumchapa nao bakora hakuamini alikaa kama mwezi hivi akanitumia sms kuuliza nimenunua shi ngapi ha ha ha ha respect is earned
Kwani babaako ukiomba kitu lazima ummpe?
Mtoto wako akisema baba ninunulie ndege utamnunulia?