Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefungia ndoa RITA? au wewe mke wa pili?Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
ShukuraniViongozi wa dini wanatoa vyetu hivyo RITA maana ni mawakala waliothibitishwa na serikali kwa kupewa kibali cha kufungisha ndoa mbali na hapo huenda kuna vyeti vya ndoa feki huku mtaani ipo siku mtu atapigwa na kitu kizito mahakamani kwa kubeba gamba feki.
cheti cha ndoa rita? mi najua ukifunga ndoa kwenye dini yako au kwa mkuu wa wilaya ndo unapewa chetiNaomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Mhhh!! Kumbe mambo mengi siyajui!! Kuna cheti Cha ndoa RITA? Mm nilijua cheti Cha ndoa kinapatikana ulipofungia ndoa!! Ngoja tujifunze.Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Utaratibu ni mgumu sana wakati mwingine; kwenda kwenye lile jengo reeefu pale Posta, kupanda ghorofani, kuunga foleni ndeefu pale, ukifika counter unaambiwa nenda uje wiki ijayo, ukirudi unaambiwa bado, subiri, subiri.Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Cheti cha ndoa kinapatikana kwa viongozi wa dini au serekalini baada ya kufunga ndoa, ukimaliza chukua cheti chako nenda Rita waisajili ndoa yako!!Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
Cheti cha ndoa hutolewa mara tu unapofunga ndoa kama ushahidi. Hutolewa na mamlaka inayofungisha iwe Serikali au Dini.Mhhh!! Kumbe mambo mengi siyajui!! Kuna cheti Cha ndoa RITA? Mm nilijua cheti Cha ndoa kinapatikana ulipofungia ndoa!! Ngoja tujifunze.
Sehemu ulipMhhh!! Kumbe mambo mengi siyajui!! Kuna cheti Cha ndoa RITA? Mm nilijua cheti Cha ndoa kinapatikana ulipofungia ndoa!! Ngoja tujifunze.
Yah nimefanya hiviSOMO:
RITA wanasajili ndoa ila wanaotoa vyeti ni 'mawakala' wao wa usajili ambao ni makanisa, misikiti na ofisi za Wakuu wa Wilaya zote nchini. Kwa hiyo ukitaka cheti cha ndoa (unachoita cha RITA) ni ama ufunge ndoa ya kidini au ya kiserikali. Ndoa ikishafungwa sehemu hizo wahusika kila mwezi hupeleka taarifa (mrejesho) huko RITA ili kuthibitisha/kusajili ndoa hizo. Watu wa ndoa hawawajibiki kwenda RITA.