fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah