Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wamekuja kukujuza jambo ,wapokee vizuri walishe vizuri watasepa zao.wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah View attachment 3188492