Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

ongea vizri na hao jirani zako wanaokwambia "wazoee tu hawana shida"
nmejaribu kuwadadisi wanasema ni mradi wa baba mjengo ni anawafuga ipa hawana shida sasa dah sjui kwann hawakuniambia kabla sijahama na nimelipa kodi ya miez 8 ndo kwanza naenda kutmiza week ya 2😩
 
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah View attachment 3188492
Kwa chumba hicho hawa wadudu ndio mahali pao salama kabisa kuishi,chumba kama holi la mifugo.
 
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah View attachment 3188492
Aisee Hawa wajusi ni hatari mbona wanatisha sana.!!! Wakubwa hata kushinda Kenge!!!!
 
nmejaribu kuwadadisi wanasema ni mradi wa baba mjengo ni anawafuga ipa hawana shida sasa dah sjui kwann hawakuniambia kabla sijahama na nimelipa kodi ya miez 8 ndo kwanza naenda kutmiza week ya 2😩
aise nimecheka sana, miez 8 šŸ˜‚
pole aise kama hawana shda we ishi nao tu
 
Weka mti wa muhogo...au maganda ya mayai kwenye moja ya Kona wanakoshukia..
 
Hiyo picha mbona kama editing...sema hayo madude kama ni chipsi mayai unaweza usilale mwaka mzima.
 
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah View attachment 3188492
aise,

hao mbona ni kenge gentleman?

wana ndimi ndefu sana,
wakikukuta usingizini wanaingiza ulimi puani wanafyonza ubongo, ni hatari zaidi kwa watoto wadogo šŸ’
 
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa geto jipya ndo nimehamia mm n mgeni dah View attachment 3188492
huo mkoa gani bado kuna tv za chogo huko? we ni mwanaume wa daresalamu? unaogopa kenge?
 
Hao ni Kenge bado wadogo wanakuwa zaidi ya hapo wanamadhara wanaweza kuua pia
 
Back
Top Bottom