Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara.

Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu niliyojiunga nayo haitumiki ni miaka mingi Sasa je Kuna msaada katika hili.
 
Attachments

  • Screenshot_20241124-103517.jpg
    Screenshot_20241124-103517.jpg
    194.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241124-103542.jpg
    Screenshot_20241124-103542.jpg
    176.6 KB · Views: 4
Wewe ambaye una run blog website kama unavyosema, unawezaje kufanya Makosa kama haya, Makosa kama haya yanafanywa na Watu wasiojua chochote kwenye Simu zaidi ya kupiga na kupokea, kufungua Wahtsapp, fb, insta na kwenda Google....!

Hata Google wenyewe hawawezi kukusaidia, kama Huna access ya Namba ulotumia kusajiri hizo info zako, msaada wa Mwisho ni kutumia Recovery email, ambayo uli set. Pale ulipofanya Registration....!
 
Hii inaweza kusaidia kwa kiwango fulani labda ila Sina uhakika.

Tafuta simu nyingine, nenda play store ilipo google account ya hiyo simu, utaona Kuna option ya kuadd account nyingine, ingia hapo add hiyo google account yako kama account mbadala ya kutumika kwenye hiyo simu.

Kwa kufanya hivyo hiyo simu itakuwa na access moja kwa moja kwenye gmail Yako, google photos n.k.

Ingia kwenye app ya Gmail kutakuwa na options ya kutumia account ya mwanzo iliyokuwepo kwenye simu au hiyo uliyoadd, wewe chagua uliyoadd hapo utaweza kuadd recovery phone, utaweza kuchange baadhi ya settings, pia utaweza kuadd recovery email.

Au
Hukohuko play store baada ya kuadd account Yako na kuichagua kama account inayotumika kwenye simu kwa muda huo, nenda sehemu imeandikwa manage your Google account, kisha nenda sehemu imeandikwa Personal Info huko unaweza kubadili baadhi ya taarifa kwenye account Yako.

Ukishabadili settings karudie zoezi la kulogin kwenye simu yenye changamoto. Kumbuka hili zoezi linafanyika kwenye simu nyingine tofauti na hiyo yenye changamoto.

Ukijaribu kulogin kawaida kwenye browser lazima itakuomba kuverify. Jaribu hiyo kama itakusaidia, au nenda google utapata mbinu mbalimbali
 
Asante sana brother ,umenipa maelekezo ya kutosha ntayafanyia kazi naamini nitafanikiwa na hata kama sitofanikiwa bado naendelea kukushukuru sana kwa kujitolea muda wako...Asante sana bro
 
Back
Top Bottom