Mwendo wa P2Kagua begi lake kama kuna box la hii dawa..
View attachment 3103704
Ahakikishe anaendelea kujipima hivyohivyo hadi siku anajifungua.Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Bora P2 inazuia, hiyo Misoprostol ina abort hadi 5 months. Hafu imagine pharmacy ukiongea nao wanakuuzia.Mwendo wa P2
Hii ni hatari sanaBora P2 inazuia, hiyo Misoprostol ina abort hadi 5 months. Hafu imagine pharmacy ukiongea nao wanakuuzia.
Aisee.
Sio kidogo.Hii ni hatari sana
Ila pia hivi vipimo vya buku UPT sometimes vinakosea, better uende dispensary au hospital wakapime.Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Hatari sana inawezekana amekunywa maana leo kaona siku zakeBora P2 inazuia, hiyo Misoprostol ina abort hadi 5 months. Hafu imagine pharmacy ukiongea nao wanakuuzia.
Aisee.
Ongea nae bwana asikufiche.Hatari sana inawezekana amekunywa maana leo kaona siku zake
Hivi mtu akiwa na ectopic pregnancy nasikia muda mwingine anapata bleed kama kawaidaSamahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Cheki kwenye search history ya simu yake, utaona madude ya ajabu amesearch.Hatari sana inawezekana amekunywa maana leo kaona siku zake
Shida ameshaona siku zake Mkuu sioni haja ya kupimaIla pia hivi vipimo vya buku UPT sometimes vinakosea, better uende dispensary au hospital wakapime.
Hapana mkuu, hapati boss mp, pia test itakua +ve ata kama mimba imejiset nje ya uterus.Hivi mtu akiwa na ectopic pregnancy nasikia muda mwingine anapata bleed kama kawaida
Mbona mlikua mnarudia rudia kupima ambavyo ilikua +veShida ameshaona siku zake Mkuu sioni haja ya kupima
SHUT UP!Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Tumeenda hospital tumeambiwa mimba imetokaHyo damu ni nyingi au ni kama spot tuu....
Nijibu nikufahamishe vzr...