MSAADA WAKUU

MSAADA WAKUU

mj909

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
86
Reaction score
204
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
 
Kagua begi lake kama kuna box la hii dawa..
images (3).jpeg
 
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Ahakikishe anaendelea kujipima hivyohivyo hadi siku anajifungua.
 
ACHA UZINZI.

HAKIKISHA MTU UNAEPATA NAE MTOTO NI MKE WAKO PEKEE

HATA KAMA NI DEMU WAKO SUBIR UMUOE.

HAWA WENGINE TUMIA CONDOM

KUMBUKA WWIMBO WA "KOSA LA MAREHEMU DADA, AKUVAA KONDOMU"
 
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Ila pia hivi vipimo vya buku UPT sometimes vinakosea, better uende dispensary au hospital wakapime.
 
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
Hivi mtu akiwa na ectopic pregnancy nasikia muda mwingine anapata bleed kama kawaida
 
Mbona unaongelea mambo ya damu damu mlikua kwenye zoezi la kuchangia damu ndo ikakataa kutoka au?
 
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali
SHUT UP!
Huwa sidanganyiki kirahisi. Iko hivi! huyo demu kweli ana mimba Wala vipimo havijakosea ila huyo mwanamke hataki kuwa na mtoto kwa Sasa ndiyo maana amepima zaidi ya mara Moja ili kujiridhisha. Hivyo baada ya kujiridhisha kuwa kibendi kipo akaamua kutoa hiyo mimba au Yuko mbioni kuitoa. Kuhusi kuingia kwenye siku zake kadanganya pakubwa, labda alinunua tomato 🍅 au chili sauce hata akapaka katika uke wake ili akudanganye wewe bwana wake usiye mwelewa wa mambo. Bro shtuka bro!
 
Back
Top Bottom