Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua tayari mimba imekaa mahala pake... Kilicho shangaza leo alfajiri ameingia period sasa hapo tumeshindwa kuelewa hii imekaaje?? Wataalamu msaada wenu tafadhali