abdala mbuya
Member
- Jul 20, 2014
- 83
- 9
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua stashahada, diploma, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye ufahamu mkuu>
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua astashahada, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye ufahamu mkuu>

ok, daa kiswahili kigumu mkuu, naskia kuna diploma ya shule msing, diploma ya sekondari, sasa nikiwa na diploma msingi naweza chukua digree?
ok, daa kiswahili kigumu mkuu, naskia kuna diploma ya shule msing, diploma ya sekondari, sasa nikiwa na diploma msingi naweza chukua digree?
Astashahada=cheti
Stashahada=diploma
Shahada=degree
Shahada ya uzamili=masters
Shahada ya uzamivu=phd
Rekebisha post yako isomeke stashahada badala ya astashahada.
Sijaona tatizo hapo.. Tumia certificate ya ualimu kusoma diploma.. Mabadiliko haya hayafuti uhalali wa vyeti vya zamani
jamani cjajibiwa nikipiga diploma labda ya s/m mshahara utakua ka wa mwenye diploma ya sec? ivyo ivyo na kwa digree,, ,,
mkuu kusoma diploma ukiwa na cheti inawezekana kaka #masumbuko mwaka jana nilipata diploma ya elimu awali nikabuu shiti
utatumiaje certificate ya ualimu kusoma diploma wakati hauna matokeo ya form 6!?.la sivyo walimu wa shule ya msingi wangejiendeleza kwa wingi