Msaada: Walimu waliopo kazini kwenda kusoma

Msaada: Walimu waliopo kazini kwenda kusoma

abdala mbuya

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
83
Reaction score
9
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua stashahada, diploma, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye ufahamu mkuu>
 
Nashauri uhakikidhe una pass ta form 4 itakayokusaidia kiseat form6, baada ya hapo jibu ni rahisi ukiwa na pass zako za form 6 🙂 itakuwa rahisi kujiunga chuo kikuu
 
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua astashahada, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye ufahamu mkuu>

Astashahada=cheti
Stashahada=diploma
Shahada=degree
Shahada ya uzamili=masters
Shahada ya uzamivu=phd
Rekebisha post yako isomeke stashahada badala ya astashahada.
 
Siyo astashahada bali ni shahada. Astashahada ni jina jingine la cheti yaani ni kisawe cha cheti.Sasa tuje kwenye hoja yako.Ni kwamba serikali imetoa tamko tu la kufuta kozi hiyo mashuleni,Aidha hawa walimu kazini serikali imeahidi kutafuta utaratibu wa kuwaendeleza.Kwa hiyo usubiri utaratibu utangazwe.
 
ok, daa kiswahili kigumu mkuu, naskia kuna diploma ya shule msing, diploma ya sekondari, sasa nikiwa na diploma msingi naweza chukua digree?
 
ushaur wenu waungwana, VITABU VIZURI VYA KUJIFUNZIA/darasan (a-level, HGK
 
Kujiendeleza kitaaluma ni haki ya mwajiriwa. Kwanza unachotakiwa kufanya ni kumwandikia mwajiri wako barua ya kuomba kwenda chuo ili akuweke katika mpango kazi wake. Pili tafuta chuo ambacho unapenda kwenda kusoma na ukipata joining ndipo uandike barua ya kuomba ruhusa ya kwenda masomoni. Cha msingi ni lazima ujue unahiteji kwenda khusoma kozi ipi,mfano Stashahada ya Elimu(Diploma in Education),Shahada ya elimu (Bachelor - BAED/BED) nk. Kumbuka ASTASHAHADA ndiyo CHETI.
 
ok, daa kiswahili kigumu mkuu, naskia kuna diploma ya shule msing, diploma ya sekondari, sasa nikiwa na diploma msingi naweza chukua digree?

yap unachukua degree in primary education mkuu!
 
Astashahada=cheti
Stashahada=diploma
Shahada=degree
Shahada ya uzamili=masters
Shahada ya uzamivu=phd
Rekebisha post yako isomeke stashahada badala ya astashahada.

Uzamili = Post-graduate,
Umahiri = Master's degree.
 
jamani cjajibiwa nikipiga diploma labda ya s/m mshahara utakua ka wa mwenye diploma ya sec? ivyo ivyo na kwa digree,, ,,
mkuu kusoma diploma ukiwa na cheti inawezekana kaka #masumbuko mwaka jana nilipata diploma ya elimu awali nikabuu shiti
 
diploma ya ualimu wa shule ya msingi ni ordinary na ya sekondari ni advanced diploma na mshahara ni tofauti vilevile sema hii dip ya shule ya msingi iko kisiasa ila hadhi yake ni cheti.
 
utatumiaje certificate ya ualimu kusoma diploma wakati hauna matokeo ya form 6!?.la sivyo walimu wa shule ya msingi wangejiendeleza kwa wingi

form6 haina umuhimu ndo mana kuna watu wana dgree hadi masters lakini hawakuwah kufika form6. Usiniulize kwanini. Ila mwalimu mwenye cheti anauwezo wa kusoma dploma akiwa na vigezo vya uzoefu au experience sikosei miaka 2 au mi3.
 
Back
Top Bottom