Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

Pole Sana Kwa changamoto , tatizo sio kwamba Unamikosi tatizo umefanya biashara ambayo hauna uzoefu nayo ndo maana imekufa cha kufanya omba msamaha Kwa wazazi na ongea nao juu ya uwezo wako ili kama wanaweza kukusaidia kupata mtaji mwingine, usijaribu kufanya biashara ambayo hauna ujuzi nayo, madereva WA gari baadhi Yao sio wazuri tena wakijua haujui unaweza kuambiwa gari imeharibika kitu flani kumbe sio na Kwa sababu hakuwa unafatiria service ndio maana gari zimekufa , omba Mungu akusaidiez kujua hakukusaidia Kwa sababu kujiua sio kumalizia tatizo Ila unatengeneza tatizo jingine Sheria tulizonazo MTU ukutaka kujiua unatenda kosa la Jina , je Mungu atakupa adhabu gani? Omba rehema Kwa Mungu Kwa mawazo hayo, tumia Muda wako nenda Kwa viongozi wako WA dini wakupe mawazo na kukuinua Imani yako naamini utapata njia
 
We mzee nakuelewaga sana
 
Mrudie mungu wako. Nyi vijana mna makundi ya kushauriana mambo ya ajabu. Na unapokua na pexa ya kuhimili mboga saba unapata marafiki na washauri wa kukupoteza kwa kisingizio cha kuengeza mtaji. Sasa hivi unanuka ufukara yote wamepotea.
Kwanini uwe na msongo wa mawazo ilihali familia yako imejitahidi kukuchika mkono?
Mengine umejitakia kwa hiyo njia nyepeci kumrudia muumba wako. Majibu utayapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…