cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usifanye hivyo mkuu,kuna ambao wanaleft daily utatuachia mzigo wanaume tutakaosalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usifanye hivyo mkuu,kuna ambao wanaleft daily utatuachia mzigo wanaume tutakaosalia
Pole Sana Kwa changamoto , tatizo sio kwamba Unamikosi tatizo umefanya biashara ambayo hauna uzoefu nayo ndo maana imekufa cha kufanya omba msamaha Kwa wazazi na ongea nao juu ya uwezo wako ili kama wanaweza kukusaidia kupata mtaji mwingine, usijaribu kufanya biashara ambayo hauna ujuzi nayo, madereva WA gari baadhi Yao sio wazuri tena wakijua haujui unaweza kuambiwa gari imeharibika kitu flani kumbe sio na Kwa sababu hakuwa unafatiria service ndio maana gari zimekufa , omba Mungu akusaidiez kujua hakukusaidia Kwa sababu kujiua sio kumalizia tatizo Ila unatengeneza tatizo jingine Sheria tulizonazo MTU ukutaka kujiua unatenda kosa la Jina , je Mungu atakupa adhabu gani? Omba rehema Kwa Mungu Kwa mawazo hayo, tumia Muda wako nenda Kwa viongozi wako WA dini wakupe mawazo na kukuinua Imani yako naamini utapata njiaNapitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.
Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa.
Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi.
Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara.
Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi sita fluently gari zinazingua nikajikuta nakua na madeni makubwa Ili niweze ku handle kuendesha biashara.
Kikubwa zaidi this week gari zote zimepata ajali na kuisha kabisa yaani ni scraper zote ata kukata haziwezekani.
Maisha yangu yamekua magumu ndani ya muda mchache tu Kila napojaribu kutafuta msaada naambulia patupu mwanamke kanikimbia na mtoto nahisi maisha yangu yamejaa nuksi na mikosi tu nakosa raha ya maisha kabisa.
We mzee nakuelewaga sanaPole sana Comrade Mbulukenge! [emoji853]
Badala ya kuwaza kujiua, ni bora hata ungewaza kufanya soo lolote tu lile ili uende zako jela ukale ugali wa bure, kama maisha ya kitaa yanakuchanganya!
Kinyume na hapo, unatakiwa kupambana. Na ndiyo maana umeumbwa mwanaume. [emoji123] Wanaume tumeumbiwa mateso. Hivyo hatutakiwi kukata tamaa hovyo.
Mrudie mungu wako. Nyi vijana mna makundi ya kushauriana mambo ya ajabu. Na unapokua na pexa ya kuhimili mboga saba unapata marafiki na washauri wa kukupoteza kwa kisingizio cha kuengeza mtaji. Sasa hivi unanuka ufukara yote wamepotea.Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.