Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

7Km.?
Hapana ni 16 Km.
Naniwilaya ya Korogwe sio Handeni
 
asante sana. atakwenda hapo maana I am in Tanga and therefore nearby Kambi.
 
Du. Nilikuwa sijui. Ni muda gani? Na mtu asipoenda kuna hatua gani atachukuliwa?
Haijajulikana vizuri atafanywaje ila wengi wao hawafanywi kitu...Ila kumbuka ni kwa mujibu wa sheria...ila kama ni mtoto wa kiume nenda tu ukajifunze,Ukakamavu,Utii,Uzalendo,Matumizi ya silaha,UVUMILIVU(hiyo ndio physics ya jeshini).
 
Kufanya kazi siyo shida, shida ni ukatili wa wanajeshi. Kambi zingine CO huwa wengine wanakataa kabisa kuruta kuteswa out of mazoezi ya jeshi per se..
Ukiwa na bahati mbaya unakuta CO mlezi ndo anastaafu kinaingia chuma cha pua.[emoji3]
 
7Km.?
Hapana ni 16 Km.
Naniwilaya ya Korogwe sio Handeni
Mkuu kama Jambo huna uhakika nalo usilitolee maelezo..,
Kwanza tofautisha umbali kutoka Kabuku kwenda Mgambo Kijijini na Kambini.
Pili Mgambo ipo Wilaya ya Handeni, Jimbo la Handeni Vijini, Tarafa ya Mzundu, Kata ya Mgambo!
 
Hawakulazimishi hata kidogo..usiwasingizie masoja..wanafuta protocol za utongozaji za kawaida kabisa,ukikubali sawa ukikataa sawa

Sasa hao masoja kwanini wawatongoze mabinti ambao wameenda kwa ajili ya JKT,kwanini wasiwatongoze manungayembe wa kitaani?
 
Huko ni kambi za JKT sio jeshini, msiwe vichwa maji
 
Daaah nakumbuka mbali sana, Komsanga kule porini kuna mashamba yana ekari 500, kitambo sana wapi afande hatari, afande chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…