Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

Huko ni kambi za JKT sio jeshini, msiwe vichwa maji
Amiri jeshi mkuu wa majesh ya Tanzania... hivyo JKT wanaitoa? wewe ndiyo kichwa maji...... Polisi ni jeshi unajua..makambi ya jeshi la polisi , mkambi ya Jeshi ka kujenga Taifa etc etc
 
Amiri jeshi mkuu wa majesh ya Tanzania... hivyo JKT wanaitoa? wewe ndiyo kichwa maji...... Polisi ni jeshi unajua..makambi ya jeshi la polisi , mkambi ya Jeshi ka kujenga Taifa etc etc
polisi ni idara kutoka na katiba ya JMT ya mwaka 1979
 
Haijajulikana vizuri atafanywaje ila wengi wao hawafanywi kitu...Ila kumbuka ni kwa mujibu wa sheria...ila kama ni mtoto wa kiume nenda tu ukajifunze,Ukakamavu,Utii,Uzalendo,Matumizi ya silaha,UVUMILIVU(hiyo ndio physics ya jeshini).
Zamani ilikuwa mtu anayekacha JKT hapati ajira serikalini. Kufuzu JKT ilikuwa ni lazima kwenye kuomba kazi yoyote.
 
Nimeyamiss machungwa tyuuh kule shambani bondeni.
Nenda Mgambo kale maisha bhana.
 
Kufanya kazi siyo shida, shida ni ukatili wa wanajeshi. Kambi zingine CO huwa wengine wanakataa kabisa kuruta kuteswa out of mazoezi ya jeshi per se..
Kweli kabisa namkumbuka OC wangu 821kj alikuwa hapendi kuruti tuteseke
 
Nenda ukale machungwa.....kwa msanga patakuhusu pia
 
Back
Top Bottom