Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Mbona mi natumia cm.. Tecno y3 na hizo features zinakubali
 
Basi ukiona hivyo ujue unatumia JF web/computer version, sio JF mobile version/application. Unaweza ukatumia computer version kwenye baadhi ya simu zikakubali lakini sio zote.
Smart zote zinakubali computer version with Chrome browser..

Wa install chrome browser then walog in JF.. unafanya kila kitu kama PC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…