Mkuu kama unatumia mobile application sio rahisi
kubold,
kupaka rangi wala
kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba
B inamaanisha
bold,
I inammanisha
italic,
U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
View attachment 525727