abackuk
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 194
- 190
[Rangi=bluu]njoo hukuKama unataka kuweka rangi anza na mabano ndani ya mabano andika color=blue kisha funga mabano then nje ya mabano andika neno lako mfano [rangi=bluu]sasa inawezekana sasa inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[Rangi=bluu]njoo hukuKama unataka kuweka rangi anza na mabano ndani ya mabano andika color=blue kisha funga mabano then nje ya mabano andika neno lako mfano [rangi=bluu]sasa inawezekana sasa inawezekana
mkuu mobile applicationinapatikana playstore...search JAMIIFORUM uipakue kwenye simu yako.Mkuu hiyo web mobile application ni ipi naitaka ntaipataje kama unayo au kuna mwenye nayo naomba anielekeze au anitumie telegram kwa namba hizi 0756695846.
Utajua tu ukijitahidi sana.[colorblue]ngoma bado ngumu aisee
Ukitaka kuweka rangi weka alama hizi [ ]na ndani yake uandike neno color=jina la rangi unayotaka halafu andika maneno yako nje ya hilo bado lá mwisho andika bila ya kuacha nafasi mfano [ color=red ] mambo vipi. Kwenye hayo mabano ndani na nje usiache nafasi.[colourblue] hivi je ?
hahahahaNyota unaweka watsup ila jf unaanza na [ b ] usiruke nafasi kisha unaandika maneno utakayo
hahahakipofu kaona mwezi
ya Leo yana furahishaUkitaka kuweka rangi weka alama hizi [ ]na ndani yake uandike neno color=jina la rangi unayotaka halafu andika maneno yako nje ya hilo bado lá mwisho andika bila ya kuacha nafasi mfano [ color=red ] mambo vipi. Kwenye hayo mabano ndani na nje usiache nafasi.