Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Kama unataka kuweka rangi anza na mabano ndani ya mabano andika color=blue kisha funga mabano then nje ya mabano andika neno lako mfano [rangi=bluu]sasa inawezekana sasa inawezekana
[Rangi=bluu]njoo huku
 
Mkuu hiyo web mobile application ni ipi naitaka ntaipataje kama unayo au kuna mwenye nayo naomba anielekeze au anitumie telegram kwa namba hizi 0756695846.
mkuu mobile applicationinapatikana playstore...search JAMIIFORUM uipakue kwenye simu yako.
 
[colourblue] hivi je ?
Ukitaka kuweka rangi weka alama hizi [ ]na ndani yake uandike neno color=jina la rangi unayotaka halafu andika maneno yako nje ya hilo bado lá mwisho andika bila ya kuacha nafasi mfano [ color=red ] mambo vipi. Kwenye hayo mabano ndani na nje usiache nafasi.
 
ya Leo yana furahisha
 
Back
Top Bottom