Ningependa kusikia kutoka kwako...nini kimepelekea kubadili mwelekeo? Huwa kuna mabishano kuhusu kuendelea na a-level au kufanya technical diplomas...wewe kama muhanga unatupa maoni gani....nikutie moyo..ukijua unapoenda ni rahisi kufika...Thanks nashukuru kwa msaada, ngoja nifanye mchakato wakutembelea hzo link.
Duh! Kwa nini usiendelee zaidi na hiyo fani yako? For me it sounds better thana kupoteza 3 good years upate diploma, 2 years upate amo, then 5 best years kutafuta md. Loh! Kwani malengo yako nini? Siku hizi kuna vyuo vingi vya engineering hivyo ukiomba huwezi kukosa kama una diploma na umefaulu vizuri. Siyo siri nilipomaliza mwaka wa tano nilijutia kwa nini nilipoteza my 5 precious years na kuishia kuwa frustrated!! Tena usiombe usome muhas! Anyway nadhani hawajaanza kuruhusu watu watume maombi lakini unaweza kutembelea www.moh.ac.tz. Good luck. But remember that, in tz a white coat and a sthethoscope is not that makes your life run.
Aisee unatukata maini tulioko medical schools....yani nimkuwa mdogooooo....
pole sana ndugu yangu, lakini maisha ndo yalivyo. Ukija huku utajua medicine ya wenzetu ni tofauti na yetu. Unajua ile pain ambayo unaifeel mgonjwa kufa kwa kukosa dawa at exact time? You prescribe, no drugs in hospital, kununua hana hela, haya unamnunulia anaendelea kutumia. Akiruhusiwa no one cares, dawa hapati baada ya wiki anarudi tena. Kisa, bajeti imetengwa kwa ajili ya wakubwa kwenda india. Siasa kila eneo, wako tayari wakutishie kukufukuza kazi ili mradi wapate hela za kununulia dawa ili waendeshee kikao. Kwao posho ni muhimu kuliko dawa, xray machine au chochote cha kitabibu. Fedha za research hakuna ndo maana profesors wanafanya kap researches kama md4 students. yaani ni bora kuharibu nyumba lakini siyo binadamu mwenzio kufa ukiona kwa tatizo ambalo limegeuzwa siasa
Kwa hiyo kaka tutokomee mbele kwa mbele au?
Kwa nini hutaki kusoma high school?
Thanks nashukuru kwa msaada, ngoja nifanye mchakato wakutembelea hzo link.
no kaka, njoo utibu ndugu zako huku but dont expect to enjoy the real medicine. Kila siku ni kelele za hiki hakuna, kile hakuna. Mwisho unageuka mtu wa kuuliza, dawa umenunua? Badala ya kuuliza, unaendeleaje? Lakini i believe one day wananchgh watabadilika.
Tatizo ugenini unahisi unasaliti ndugu zako....kila ukikumbuka wanavyohangaika unatamani kurudi....tuombe mambo yabadilike..
i believe Mungu atatuondoa na haya matatizo ya wanasiasa uchwara. You know what, watadharau sanaa lakin ikifika hatua ya imergence lazima watutafute. And right now mtoto wa mkubwa yuko muhimbili kalazwa. I have a friend there amenipa taarifa hii. Hii inaonesha hata hizo bima zao za kwenda india kwa kodi zetu bado watatufuata tu. Medical Emergence doesnt have a quick flight.
Aisee unatukata maini tulioko medical schools....yani nimkuwa mdogooooo....
Emergency hata airport haufiki lazima tukustabilize kwanza...hahahaha!!! bahati nzuri madaktari hatuna roho mbaya ila tungehakikisha wakipita pale muhimbili wanatoka kwenye masanduku ndio akili wangetia.....Tutatimba tu huko skuli ikiisha ....tutakomaa nao
Inafurahisha kuona vijana mnachangamkia nafasi za kada za afya.....nadhani mwishoni wa mwaka jana wamechukua watu sasa kwa mwaka huu sijui labda mwishoni tena wa huu mwaka.Wakuu wapi hapa tz watoa course ya clinical anaestisia, vipi qualifications zikoje kwa levels zilizopo hapo
Inafurahisha kuona vijana mnachangamkia nafasi za kada za afya.....nadhani mwishoni wa mwaka jana wamechukua watu sasa kwa mwaka huu sijui labda mwishoni tena wa huu mwaka.
Ila tembelea hii link upate maelezo