Msaada wapi ntasoma advance diploma ya medical?

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
126
Habari zenu wana JF, mnaweza kunijuza wapi hapa bongo au mbele naweza kusoma diploma au advance diploma ya medical officer nakupata ufadhili wa serekali? Matokeo yangu ya O-Level Biology - B, Physics - A, Chemistry - A na Mathematics - B. Pia nina diploma ya Computer Engineering kutoka Mbeya University of Science and Technology nakupata GPA 4.2. Tafadhali nawasilisha kwa msaada.
 
Haya ni matokeo ya mwaka gani?
Hukuenda A level PCB?
Angalia tovuti ya wizara ya Afya ndo utaona lini wanatoa nafasi kwenye vyuo vyake...
 
Duh! Kwa nini usiendelee zaidi na hiyo fani yako? For me it sounds better thana kupoteza 3 good years upate diploma, 2 years upate amo, then 5 best years kutafuta md. Loh! Kwani malengo yako nini? Siku hizi kuna vyuo vingi vya engineering hivyo ukiomba huwezi kukosa kama una diploma na umefaulu vizuri. Siyo siri nilipomaliza mwaka wa tano nilijutia kwa nini nilipoteza my 5 precious years na kuishia kuwa frustrated!! Tena usiombe usome muhas! Anyway nadhani hawajaanza kuruhusu watu watume maombi lakini unaweza kutembelea www.moh.ac.tz. Good luck. But remember that, in tz a white coat and a sthethoscope is not that makes your life run.
 
Thanks nashukuru kwa msaada, ngoja nifanye mchakato wakutembelea hzo link.
 
Ningependa kusikia kutoka kwako...nini kimepelekea kubadili mwelekeo? Huwa kuna mabishano kuhusu kuendelea na a-level au kufanya technical diplomas...wewe kama muhanga unatupa maoni gani....nikutie moyo..ukijua unapoenda ni rahisi kufika...
 
Duh! Kwa nini usiendelee zaidi na hiyo fani yako? For me it sounds better thana kupoteza 3 good years upate diploma, 2 years upate amo, then 5 best years kutafuta md. Loh! Kwani malengo yako nini? Siku hizi kuna vyuo vingi vya engineering hivyo ukiomba huwezi kukosa kama una diploma na umefaulu vizuri. Siyo siri nilipomaliza mwaka wa tano nilijutia kwa nini nilipoteza my 5 precious years na kuishia kuwa frustrated!! Tena usiombe usome muhas! Anyway nadhani hawajaanza kuruhusu watu watume maombi lakini unaweza kutembelea www.moh.ac.tz. Good luck. But remember that, in tz a white coat and a sthethoscope is not that makes your life run.

Aisee unatukata maini tulioko medical schools....yani nimkuwa mdogooooo....
 
pole sana ndugu yangu, lakini maisha ndo yalivyo. Ukija huku utajua medicine ya wenzetu ni tofauti na yetu. Unajua ile pain ambayo unaifeel mgonjwa kufa kwa kukosa dawa at exact time? You prescribe, no drugs in hospital, kununua hana hela, haya unamnunulia anaendelea kutumia. Akiruhusiwa no one cares, dawa hapati baada ya wiki anarudi tena. Kisa, bajeti imetengwa kwa ajili ya wakubwa kwenda india. Siasa kila eneo, wako tayari wakutishie kukufukuza kazi ili mradi wapate hela za kununulia dawa ili waendeshee kikao. Kwao posho ni muhimu kuliko dawa, xray machine au chochote cha kitabibu. Fedha za research hakuna ndo maana profesors wanafanya kap researches kama md4 students. yaani ni bora kuharibu nyumba lakini siyo binadamu mwenzio kufa ukiona kwa tatizo ambalo limegeuzwa siasa
 
Kwa hiyo kaka tutokomee mbele kwa mbele au?
 
no kaka, njoo utibu ndugu zako huku but dont expect to enjoy the real medicine. Kila siku ni kelele za hiki hakuna, kile hakuna. Mwisho unageuka mtu wa kuuliza, dawa umenunua? Badala ya kuuliza, unaendeleaje? Lakini i believe one day wananchgh watabadilika.
 
Kwa nini hutaki kusoma high school?

huyu nahisi alichagua ufundi badala ya kwenda advance. Ameshapoteza miaka mitatu tayari kwa hiyo anahitaji kusonga mbele. Hata hivyo anaweza kupata diploma ya clinical medicine. Lakine akienda advance itakuwa rahisi zaidi kwani ataenda md moja kwa moja
 
Thanks nashukuru kwa msaada, ngoja nifanye mchakato wakutembelea hzo link.

i would advice you kwenda advance if you think you are smart enough kufaulu pcb ili upoteze two years instead of three years of studying co. If you will pass you gona get a direct chance of studying md. Good luck by the way.
 
no kaka, njoo utibu ndugu zako huku but dont expect to enjoy the real medicine. Kila siku ni kelele za hiki hakuna, kile hakuna. Mwisho unageuka mtu wa kuuliza, dawa umenunua? Badala ya kuuliza, unaendeleaje? Lakini i believe one day wananchgh watabadilika.

Tatizo ugenini unahisi unasaliti ndugu zako....kila ukikumbuka wanavyohangaika unatamani kurudi....tuombe mambo yabadilike..
 
i believe Mungu atatuondoa na haya matatizo ya wanasiasa uchwara. You know what, watadharau sanaa lakin ikifika hatua ya imergence lazima watutafute. And right now mtoto wa mkubwa yuko muhimbili kalazwa. I have a friend there amenipa taarifa hii. Hii inaonesha hata hizo bima zao za kwenda india kwa kodi zetu bado watatufuata tu. Medical Emergence doesnt have a quick flight.
 
Emergency hata airport haufiki lazima tukustabilize kwanza...hahahaha!!! bahati nzuri madaktari hatuna roho mbaya ila tungehakikisha wakipita pale muhimbili wanatoka kwenye masanduku ndio akili wangetia.....Tutatimba tu huko skuli ikiisha ....tutakomaa nao
 
wanachoniboaga mi ni ile kuweka walinzi kila kona. Na akipita atataka kila mtu ajue kwamba amepita.
 
Wakuu wapi hapa tz watoa course ya clinical anaestisia, vipi qualifications zikoje kwa levels zilizopo hapo
 
Inafurahisha kuona vijana mnachangamkia nafasi za kada za afya.....nadhani mwishoni wa mwaka jana wamechukua watu sasa kwa mwaka huu sijui labda mwishoni tena wa huu mwaka.

Ila tembelea hii link upate maelezo
 
asante,kwa tangazo hili hapa hakuna course ya anaestisia
 
Back
Top Bottom