ethicx
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 311
- 126
Habari zenu wana JF, mnaweza kunijuza wapi hapa bongo au mbele naweza kusoma diploma au advance diploma ya medical officer nakupata ufadhili wa serekali? Matokeo yangu ya O-Level Biology - B, Physics - A, Chemistry - A na Mathematics - B. Pia nina diploma ya Computer Engineering kutoka Mbeya University of Science and Technology nakupata GPA 4.2. Tafadhali nawasilisha kwa msaada.