Msaada wataalamu wa skimming

Msaada wataalamu wa skimming

Mimi sio fundi Ila wakati najenga fundi wangu alinielewesha kidogo.
Iko hivi:-

Tukianza na generation za hizo sckimming material ilianza
Gypsum Powder
White Cement
Wall putty

Mafundi wengi hawako sana familia na wall putty hivyo kama ujuavyo mtu hupendelea kile akijuacho.

Faida kubwa ya wall putty ina antifungal ndani yake kudhibiti fungus za ukutani lakini pia unaweka hiyo BINDER kuifanya rangi yako isibanduke hasa maeneo yenye unyevu.

Hivyo basi ushauri ambao alinipa nitumie white cement ndani sababu kutakuwa na unyevu kidogo au usiwepo kabisa na kwa sababu white cement inacover square mita nyingi kulinganisha na wall putty.

Nje alinishauri nitumie wall putty ili kuhimili unyevu wa nje na fungus za ukutani. Kwa hiyo kwa generation wall putty ni toleo za kisasa zaidi tukiamini zitakuwa zimecover changamoto za matoleo ya nyuma.

Uamuzi ni wako kulingana na eneo lako na hali ya mfuko wako. Hongera kwa hatua ya finishing nikikumbuka ilivyonipelekesha sina hamu nayo.
white cement ina cover sehemu kubwa kuliko wall putty kwa kigezo gani,kwan white cement 40kg na putty 25kg
 
kila fundi alikuwa na hesabu yake kulingana mazingira huyo wa pva tupo njema
 
white cement ina cover sehemu kubwa kuliko wall putty kwa kigezo gani,kwan white cement 40kg na putty 25kg
White cement + emulsion ya kuchanganyia =70000
Wall putty 2=50000.
So hapo bora wall putty.uwe na uelewa kabla hujaandika
 
White cement + emulsion ya kuchanganyia =70000
Wall putty 2=50000.
So hapo bora wall putty.uwe na uelewa kabla hujaandika
wall putty ntapata wapi kwa bei hiyo
 
Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu....
Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake

Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi.....

Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall purity ndani the nje itumie white cement..

Fundi wa pili kanishawishi sanaa na nkamuelewa JE pva ikoje na ubora wake ukoje kwa kulinganisha na options zilizopo???
sasa fundi wa pili amekushawishi vip wakat wewe hujui pva ni kitu gani
 
hujawahi kula manzi aliekeketwa mi nkwambia ni mtamu na ukakubali na ukataka kujaribu JE SIJAKUSHAWISHI?????
 
Back
Top Bottom