ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
- Thread starter
-
- #101
Je wapo ambao unawafahamu waliooana hivyo(mtoto wa baba mkubwa na mdogo) na uzazi wao uko vizuri kabisa bila dosari yoyote?Hakuna tatizo, waozeni tu. Kiislam tunaruhusiwa, hao ni bin na bint amu.
Ili iweje sasa so kila wakitiana mimba wachinje?Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Wengi tu na wapo poa kabisa.Je wapo ambao unawafahamu waliooana hivyo(mtoto wa baba mkubwa na mdogo) na uzazi wao uko vizuri kabisa bila dosari yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuua undugu??π³Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
yeah ila kwenye genetics kuna chances za kuwa na matatizo, tabia hizo wanazo sana familia ya Rothschild kama umefatilia utaona kuna watoto (baadhi) walizaliwa hivyo sababu ya kuoana nduguHao sio ndugu. Ndugu ni wale waliozaliwa baba na mama mmoja. Hao ni cousins tena jamii za kiislam huwa wanaoana kabisa. Wa ba mdogo,wa shangazi wanaoana bila tatizo.
ila kutoa mimba sio kosa la jinai?Nendeni kwa wataalamu ili muitoe hiyo mimba.
Katika mazingira hayo ni nadra sana kuzaa mtoto asiyekuwa na kasoro kwa sababu hao wahusika damu zao zinafanana kwahiyo ni dhahiri watazaa ZOMBIE ambaye atakuwa ni mzigo mkubwa sana kumlea pili katika hali hiyo kila mtu atajua kuhusu hiyo kashfa kutokana na hali mbaya ya huyo mtoto kama atazaliwa akiwa hai.
Pia hilo ni kosa la jinai.
ila kutoa mimba sio kosa la jinai?
Kwan walikua wanaishi nyumba moja!!Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea.
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
Hii mila ni ya kabila gani best?Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
tunaongelea hili lililotokea hapa, watoe mimba kisa ni ndugu wamekutana kimwili?? ni sababu ya kuua kiumbe aliyeko tumboni? kahatarisha maisha ya nani mpaka wamtoe? wangefundishwa kuzuia tamaa ama kujikinga na mipira yangetokea? na kama walifundishwa na hawakutii hayo mtoto hayamhusu! acha wazae maisha mengine yaendeleeKutoa mimba kwa sababu za kimsingi imeruhusiwa, mfano kama mimba itasababisha mama kupoteza maisha hapo sio kosa kuitoa au kama mimba itaonekana kupitia vyombo kama ultra sound nk, inayomapungufu (abnormality) hapo inaruhusiwa kuitoa, kuna mapungufu na madhara mengi yanayoweza kuletwa kwa mama kupata ujauzito-- madhara kwa mama au kwa mtoto akiwa tumboni.
Shida kubwa iliyopo kwenye jamii (stereotype) ni kwamba wana generalize kuwa kutoa mimba ni dhambi ya uuaji, wanasahau kwamba mimba inapokuwa tumboni inakuwa ni sehemu ya mwili wa mama na haina maisha yake pekee (an independent life). Kuua ni hali ya kutoa uhai wa nafsi inayojitegemea yenyewe nje ya uhai wa kitu kingine. (Out of host life).
Kifupi kutoa mimba kwa sababu za msingi imeruhusiwa-- na kutoa mimba inaweza ikawa ni kosa lakini sio kosa la mauaji kama ilivyozoeleka katika jamii.
tunaongelea hili lililotokea hapa, watoe mimba kisa ni ndugu wamekutana kimwili?? ni sababu ya kuua kiumbe aliyeko tumboni? kahatarisha maisha ya nani mpaka wamtoe? wangefundishwa kuzuia tamaa ama kujikinga na mipira yangetokea? na kama walifundishwa na hawakutii hayo mtoto hayamhusu! acha wazae maisha mengine yaendelee
hilo swala la ndugu na matatizo yake tunayajua ila wapo wengi wamezaliwa kwa mama mdogo na baba mkubwa (mashariki ya kati ni kawaida ili mali isiende mbali) ila sio sababu ya kutoa, wamejiingiza kwenye vitendo vya uzalishaji wa binadamu sheria ya nature inachukua mkondo wake (kupatikana mtoto) basi ndo hivyo - kingine unaposema kuua ni mpaka kitu kiwe nje kwenye macho yako unayoyaona? mtoto aliyeko tumboni nae ni kiumbe hai, ni MTU YULE (Murder is the unlawful killing of another human without justification or valid excuse, especially the unlawful killing of another human being with malice aforethought.) - kosoaLakini unaelewa ninachosema??,
Hao ni ndugu wa damu wamekutana na kupeana mimba, je unajua ni madhara gani yanayoweza kupatikana kwa ndugu wa DAMU kupata mtoto??, jifunze kwanza hilo ndipo uje na utetezi kwa hoja yako.
Kutoa mimba siyo kuua, tafuta maana ya kuua halafu uje kutetea hoja yako.
Hao kwa mila ya kiislam, km ni mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo wanayo haki ya kuonanaNi watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea.
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?
hilo swala la ndugu na matatizo yake tunayajua ila wapo wengi wamezaliwa kwa mama mdogo na baba mkubwa (mashariki ya kati ni kawaida ili mali isiende mbali) ila sio sababu ya kutoa, wamejiingiza kwenye vitendo vya uzalishaji wa binadamu sheria ya nature inachukua mkondo wake (kupatikana mtoto) basi ndo hivyo - kingine unaposema kuua ni mpaka kitu kiwe nje kwenye macho yako unayoyaona? mtoto aliyeko tumboni nae ni kiumbe hai, ni MTU YULE (Murder is the unlawful killing of another human without justification or valid excuse, especially the unlawful killing of another human being with malice aforethought.) - kosoa
Hao kwa mila ya kiislam, km ni mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo wanayo haki ya kuonana
sehemu ya mwili wa mama...au anakuwa parasite kwa host ambaye ni mama???? halafu post umesoma vizuri kuwa mtoto wa baba mkuwa na baba mdogo au umesahau hiyo part??? we nahisi ni dokta wale wanaosafisha wasichana wetu vyuo vikuu mimba zao...kaazi kweli kweli!! haya watoe kakaaa mimba sio mtu ni mnyama wa dizaini ingine kabisa (ila navyojua zygote ni binadamu kama binadamu wengine regardless anaishi wapi iwe tumboni iwe kwenye chupa au awe hapa) ni sawa na yai la kuku ambalo limesharutubishwa - yule ni binadamu ambaye hajakamilika bado yuko kwenye stage ya kulekea kwenye ukamilifu, nilichotolea maoni wote hapa tunajua repercussion zake za kuwa wa damu moja kuna kuwa na probability ya genetics mutation ila sasa si wameshaji engage kwenye sexual activity inayotengeneza watoto waachwe wazae! wasiwatoe ila kwa mawazo hayo unaweza kula nyama ya katoto ambako bado hakajakamilika ila wakakatoa sio bure ... ππππππMimba inapotolewa kwa sababu yoyote ile kitendo hicho sio mauaji, kumbuka mimba siyo mtoto, mtoto ni yule aliyezaliwa ambapo ukimtoa uhai mara baada ya kumzaa au hapo baadaye hapo ndipo kitendo cha uuaji kitakuwa kimefanyika, lakini mimba (zygote) ambayo bado inategemea supply ya chakula na hewa kutoka kwa mama hiyo mimba inakuwa ni sehemu ya mwili wa mama na hapo anakuwa na hiyari ya kuitoa au laa.
Mimi niliposema mimba ya hao wana ndugu itolewe nilikuwa na hoja hii (ambayo umeikubali) kwamba watu wa damu moja wakizaa basi madhara ya kiafya mara nyingi hutokea katika watoto wanaozaliwa, sasa it would be inhuman to procreate a congenitally defective offspring deliberately while for sure you knew it would be suffering its entire life, forget about your suffering, as parents, from its upbringing. -- spending time, money and resources in its catering, something you knew before giving birth.
Na ndiyo maana leo kuna ultrasound, MRI nk, vyombo vya uchunguzi na elimu ya tiba na katika genetics ni kubwa kuweza kujua madhara mbalimbali ya kiafya hata kabla mtoto hajazaliwa sasa tutaishije kama watu wa karne ya 15??.
Wataalamu wa wanyama veternary doctors wanapohamilisha (insemination) wanyama ili kupata uzao bora usiokuwa na kasoro huchukua mbegu kutoka dume mwingine kabisa na wala sio dume kutoka katika ukoo uleule na hii ni kuepusha madhara ya kigenetic na magonjwa ya kurithi, sasa why should it be exceptional to humans as they are technically like animals in the case??!!--sasa itakuaje sisi tuishi tu kwa kujamiana hovyo kuliko hata hao wanyama tunao wa treat decently !!ππ
sehemu ya mwili wa mama...au anakuwa parasite kwa host ambaye ni mama???? halafu post umesoma vizuri kuwa mtoto wa baba mkuwa na baba mdogo au umesahau hiyo part??? we nahisi ni dokta wale wanaosafisha wasichana wetu vyuo vikuu mimba zao...kaazi kweli kweli!! haya watoe kakaaa mimba sio mtu ni mnyama wa dizaini ingine kabisa (ila navyojua zygote ni binadamu kama binadamu wengine regardless anaishi wapi iwe tumboni iwe kwenye chupa au awe hapa) ni sawa na yai la kuku ambalo limesharutubishwa - yule ni binadamu ambaye hajakamilika bado yuko kwenye stage ya kulekea kwenye ukamilifu, nilichotolea maoni wote hapa tunajua repercussion zake za kuwa wa damu moja kuna kuwa na probability ya genetics mutation ila sasa si wameshaji engage kwenye sexual activity inayotengeneza watoto waachwe wazae! wasiwatoe ila kwa mawazo hayo unaweza kula nyama ya katoto ambako bado hakajakamilika ila wakakatoa sio bure ... ππππππ
Kaini alimla nani mpaka kizazi kikaendelea kama sio ndugu yake? Kuzalishana ndugu inakataliwa ili kuzuia magonjwa ya kurithi yasiendelee kutafuna ukoo na pia ingekuwa halali kuoa ndugu yako tungelazimishana kuoa dada zetu ambao wapo wanazeekea nyumbani kwa sababu mbalimbali mfano(hana kishuzi,miguu kama miwa,ugly face n.k)Ukisoma Biblia katiba cha mwanzo tunaambiwa Adam alizaa watoto wawili tu wa tena wa kiume, ndo habali zao zilizoandikwa, Kaini na Habili, na Habili aliuliwa na kaka yake Kaini, sasa cha kujihoji ikiwa hao ndo watoto wa Adam pekeee sisi wengine ni watoto wa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app