Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Duh,kumbe kimila undugu unaweza kuuawa wakaendelea kama kawa,ila kidini hilo ni kosa sana,inahitajika watubu na kuacha huo mchezo mara moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mduuh ndio naisikia hii haha bahati yangu sikuntiaga... [emoji74] [emoji74] lp
 
Nje ya imani na miikio ya kimila na maadili, hakuna baya jingine, mtoto atazaliwa fresh tu hamna shida.
Haya mambo ni kawaida sana kwenye familia za kishua ndugu kugongana. Kuna familia moja nilienda eti dada yupo kitandani kwa kaka wanaangalia movie ilibid nifanye kilichonipeleka niondoke faster niwaachie uhuru
 
Unasahau mambo ya genetics?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno tu, mbona mie nimetia mimba mtoto wa mama mkubwa toka nitoke kazaa toto liko poa tu
Kama kichwa cha habari kilivyojileleza,Ni watoto wa ndugu,baba zao wamezaliwa baba na mama mmoja,walikuwa wanafanya yao yakatokea hayo yaliyotokea,
Tunaambiwa ndugu wakioana kuna uwezekano mkubwa wakazaa mtoto ambaye ni taahira,ili kuepukana na hilo je Kuna dawa za kitaalam za kuweza kuzuia hilo lisitokee au wawe wanamuomba Mungu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo ni aibu na ujinga (hasa wa wazazi) nothing gonna happen unless wana magonjwa ya kurithi. Waarabu mbona wana hizo mambo lakini hatusikii hizo cases za laana?

Wazazi muwe serious, yaani mpk watoto wanapeana mimba mpo tu mnaangalia kama mazwazwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du chances hapo wote wa nusu ya genes za mama zao, si sawa na baba mmoja mama mmoja. Anyway yameshatokese. Kimila mnatakiwa kuchinja mnyama kwenye kaburi la babu ili kuua undugu ili waweze kuoana.
Really?!

You are actually saying that a biological problem can be solved by spiritual cleansing?!

Like really, are you serious?!

By the way kikatiba hao wanatakiwa kushitakiwa maana wameshafanya kosa kisheria. Inatwa incest sijui nini nini huko mwishoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada yawezekana na wewe ni wale wale "kutiana mimba ndo kiswahili gani"?
 
Really?!

You are actually saying that a biological problem can be solved by spiritual cleansing?!

Like really, are you serious?!

By the way kikatiba hao wanatakiwa kushitakiwa maana wameshafanya kosa kisheria. Inatwa incest sijui nini nini huko mwishoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ipi mkuu, hao ni kuwaozesha wakajuane mbele na maisha yao, maana hawakubakana walikubaliana, wakaanze maisha yakiwashinda bint atarudi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao sio ndugu. Ndugu ni wale waliozaliwa baba na mama mmoja. Hao ni cousins tena jamii za kiislam huwa wanaoana kabisa. Wa ba mdogo,wa shangazi wanaoana bila tatizo.
Tena unaweza kuta hata undugu kabisa hawana.

Swala la baba wa mtoto bado ni changamoto.
 
kama wamepeana mimba unawawekaje kwenye kundi la watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu yupo kundi gani?
IMG-20190406-WA0006.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom