Msaada wenu: Baba yangu mzazi anataka kunitimua kwenye nyumba ya babu yetu

Niko upande wa baba ako, hivi kweli hufikirii chanzo cha wewe kukosa ajira ni c.c.m? Watu wanapotea, wanakufa na wanatumbuliwa hovyo kila siku huoni? Ungekaa na baba ako vizuri akakueleza sababu kuliko kujimwambafai na degree yako
Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccm
 
Mzee yuko sahihi. Na akili zako zote hizo umesoma hakuna sera zozote za kueleweka zilizowekwa na serikali ya CCM kuhusu ajira. Huna kazi na unashabikia CCM.
 
Mkuu ukitaka kudumaa kimaisha baki hapo kwa babu yako pamoja na baba yako.

Baba yako ndo ka cease, hana maendeleo wala maarifa ya kujiendeleza kimaisha.

Usiingize siasa kwenye kipato chukua chochote kinachokuja.

Uje urudi hapo nyumbani baada ya hata miska 10 ya kuchakarika na nakuhakikishia, uliowaacha watakuwa wamebaki vile vile huku wewe umepiga mwendo.
 
Huko vyuoni mnaenda kusomea ujinga na ubwabwa?
Kuandika tu huwezi unajiita umemaliza chuo kikuu!
Hii itakuwa chai bila andazi wala chapati.
QUOTE="kikoozi, post: 33498351, member: 296926"]
Hapana mkuu hapo nyumbani kuna chumba ambacho mzee amekifunga na kufuli na kunitolea vitu nje, ananitukana eti bora apangishe hapate kodi kuliko mimi kukaa na kujaza choo
[/QUOTE]
 
Huyo baba ako mtu wa busara sana..

Kwanini Ung'ang'anie kwenye nyumba sio yako?!..

Hiyo nyumba ni ya baba ako ambae kaachiwa na baba ake,..

baba ako bila shaka alikuwa anamsikiliza sana baba ake mpaka akaamua amrisishe mwanawe nyumba.. ,

wewe humsikilizi baba ako, CHUO kimekutia ujinga umekuwa mpumbavu

Asiefunzwa na babae hufunzwa na ulimwengu, muombe mjumbe akupakie hifadhi ya kisiasa
 
Afadhali baba yako hiyo hela aliyokusomesa angenunua ng'ombe wengi afuge apate maziwa , kuliko kusomesha ling'ombe limoja ambalo halitoi hata maziwa
 
Ila babako, inaonekana anaichukia sana ccm, mwambie maisha ni kuchagua
 
Mtu anayegombana kisa vitu vya urithi huwa ana shida kwenye ubongo..tafuta vyako!
Kumbe mwenye tatizo ni baba yake, maana yeye amerithi nyumba, halafu anajimwambafai hataki mwanae akae hapo! Huoni mzee wake naye kipa katoka.
 

Kwa kweli kwa kijana mdogo kama wewe mwenye umri wa miaka 28 tu mi naona baba anakosea kukuambia uhame hapo nyumbani. Yeye anategemea kwa umri wako huo mdogo we utaenda wapi na ndio kwanza umemaliza chuo kikuu mwaka jana? Baba alitakiwa akuache kwenye kile chumba ambacho babu alikuachia na akasema usinyanyasike hapo nyumbani. Mimi nakushauri ukamripoti baba kwa mjumbe wa nyumba 10 ili uruhusiwe kuendelea kukaa hapo angalau kwa miaka 15 ijayo ili uwe umeshajipanga.
 
Hiyo ni nyumba ya baba yake anahaki ya kukutimua Ingekua anakutimua nyumba yake (ya baba yako ) hapo tungekusaidia. Toka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…