Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccmNiko upande wa baba ako, hivi kweli hufikirii chanzo cha wewe kukosa ajira ni c.c.m? Watu wanapotea, wanakufa na wanatumbuliwa hovyo kila siku huoni? Ungekaa na baba ako vizuri akakueleza sababu kuliko kujimwambafai na degree yako
Mzee yuko sahihi. Na akili zako zote hizo umesoma hakuna sera zozote za kueleweka zilizowekwa na serikali ya CCM kuhusu ajira. Huna kazi na unashabikia CCM.Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimeangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kula kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwaajili ya maadalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
Mkuu ukitaka kudumaa kimaisha baki hapo kwa babu yako pamoja na baba yako.Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.

Afadhali baba yako hiyo hela aliyokusomesa angenunua ng'ombe wengi afuge apate maziwa , kuliko kusomesha ling'ombe limoja ambalo halitoi hata maziwaHabarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimeangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kula kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwaajili ya maadalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
🤣🤣🤣dume kulilia nyumba ya "urisi"!..hhhaaa "anakela xana"Unatukela tu humu shenz taip
Kumbe mwenye tatizo ni baba yake, maana yeye amerithi nyumba, halafu anajimwambafai hataki mwanae akae hapo! Huoni mzee wake naye kipa katoka.Mtu anayegombana kisa vitu vya urithi huwa ana shida kwenye ubongo..tafuta vyako!
Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimeangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kula kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwaajili ya maadalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
miaka 28 mpaka leo uko kwa baba ako, baba ako nae sijui ana miaka mingapi ila na yeye anakaa kwa baba ake. ngoja waje.