Msaada wenu: Baba yangu mzazi anataka kunitimua kwenye nyumba ya babu yetu

Baba yako ni mtu mwenye busara sana! Miaka 28 unakaa kwa baba yako!?? Halafu eti unauliza unataka upiganie haki yako!?? Una haki gani wewe kwenye hiyo nyumba!??

Yaani ningekuwa mimi,kwanza ningetafuta wahuni wakafunga miguu na mikono,wakakuvulisha nguo nakutandika viboko 21 matakoni huku umepakwa pilipili..!! Na baada ya hapo hutakanyaga tena kwangu..Yaani wewe hustahili kabisa hata kuwa Duniani,bora Mungu akuchukue tu ili ampunguzie Baba yako mzigo..Pumbavu kabisaaa....
 
m Mtafute Kawe Alumni akusaidie makazi
 
Kuna vitu duniani hata kama huvipendi inabidi uvichukulie kawaida. Unamkumbuka Jerry Muro? Huyu jamaa alikuwa anaitukana Chadema wazi wazi kwenye vyombo vya habari. Sasa kama baba mtu upo Chadema unaweza sema huyu si mwanangu tena. Leo hii Jery Muro ni mkuu wa wilaya. Kama baba mtu ulimtukana na kumkana mwanao halafu umeugua na hela ya matibabu ni kubwa unafanyaje? Je, mwanao naye akasema hakusaidii utamlaumu? Tuache mawazo mgando kwa sababu dunia ya leo watu wanaangalia pesa tu. Ukijidai mwanaharakati sijui unatetea haki utaishia kuawawa sababu Afrika hakuna demokrasia wala haki. Wewe angalia pesa tu ili utengeneze mkate wa kula familia yako na ndugu zako. Uganda hapo wapinzani wanauwawa kila siku, kwa Kagame ndiyo usiseme. Tundu Lissu huyo hapo. Afrika ni sehemu ya kupiga pesa. Hata kama ningekuwa mzazi wa huyo kijana, na msapoti ili apige pesa. CCM, CHADEMA, CUF, Wazalendo n.k Hao ni marafiki ni kama timu za mpira vile. Lowasa alikuwa CCM kaenda CHADEMA ila hii yupo CCM
Kweli kabisa
 
Kama ccm na baba yako bora ccm haya, tena ccm yenyewe ya magu haina maslahi pole
 
Asante sana mkuu
 


Nimewaona mkoa naoishi mkuu...wanarogana kisa nyumba ya urithi wavivu tu kutafta vyao!..wamejazana hapo anayejitahid sana bas ni bodaboda😅
 
Sio kukufukuza tu akupige bunduki, mtoto hasara wewe
 
Hapana mkuu hapo nyumbani kuna chumba ambacho mzee amekifunga na kufuli na kunitolea vitu nje, ananitukana eti bora apangishe hapate kodi kuliko mimi kukaa na kujaza choo
Alooo wewe hata kuandika vizuri kwako ni tatizo bora baba yako alivyokutimua, unamuongezea mzigo
 
Pole sana ndugu yangu, jaribu kuongeana baba yako vizuri na kumuomba msamaha, ila ukiwa umebadili mawazo ya ulichokuwa unataka kukifanya.
Asante mkuu
 
Kama unashabikia CCM ni bora ufukuzwe tu ukakae Lumumba.
 
Asante sana kaka nimekuelewa
 
Ondoka tu ndugu yangu, nenda kapange. Kauli ya babu yako kuhusu wewe usinyanyasike inaonesha dhahiri kuwa "wewe siyo mtoto wake baba yako huyo anaekufukuza, unaweza ukawa mtoto wa babu mwenyewe,ama rafiki was baba/babu ako, ama mtoto wa mjomba"

Ondoka
 
!
!
Mkuu Hata Mimi Ningekutimua. Tena Usingeondoka Hara Na Boxer Aisee. Utawasaidiaje Sisiemu
 
Babaake nae sijui umri gani anakaa kwa babaake. 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…