Msaada wenu: Baba yangu mzazi anataka kunitimua kwenye nyumba ya babu yetu

Kila nikiandika nafuta.

..........Hivi chama chetu kinajua kinachukiwa hivi mtaani?
 
Nimewaona mkoa naoishi mkuu...wanarogana kisa nyumba ya urithi wavivu tu kutafta vyao!..wamejazana hapo anayejitahid sana bas ni bodaboda[emoji28]

Yapo mengi sana kwenye jamii ya umasikini yaani mtu anashindwa kutafuta chake, jicho kodoo kwenye jasho la wenzake
Tena wanarogana sana na mpaka kuuwa kabisa ila hawanaga maendeleo mwisho wao ni mbaya tu
 
mzee wako haitak ccm ww unashindwa jiongeza ulivyo mwakyembe eti ukataka umwandikishe na yeye kwenye chama chakavu hahahahah!
 
Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.

Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana

Tangu nimemaliza chuo, nimehangaika sana kupata kazi bila mafanikio.

Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.

Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.

Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji.

Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfuata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe

Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.

Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake.

Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji.

Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe.

Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali.

Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?

Asanteni.
Hati ya hicho chumba chako babu alikupatia?
 
Ndio maana unashirikiana na ccm hii kumbe. Kwa ufupi ni kuwa baba yako ANAKUPENDA SANA ila amegundua kuwa akili huna. Ndio maana anajitahidi kukurudisha kwenye njia sahihi.
 
Write your reply...bado mzazi wako ni mvumilivu sana mwehu wewe
 
Ukiambiwa CCM ni mashetani uwe unaelewa

tafuta yako
 
Una miaka 28 uko kwa baba yako

Tafuta Uzi wa watu walioanza kuishi geto

Ondoka hapo bhana ushakuwa mtu mzima Sana

Wewe na baba yako wote akili zenu ziko sawa[emoji57]
 
Fuata ushaur wa baba yako,we c uliona mjumbe anafaa ila baba n kwa ajil ya kula na kumjazia choo?utavuna ulichopanda
 
Kwa kweli kwa kijana mdogo kama wewe mwenye umri wa miaka 28 tu mi naona baba anakosea kukuambia uhame hapo nyumbani. Yeye anategemea kwa umri wako huo mdogo we utaenda wapi na ndio kwanza umemaliza chuo kikuu mwaka jana? Baba alitakiwa akuache kwenye kile chumba ambacho babu alikuachia na akasema usinyanyasike hapo nyumbani. Mimi nakushauri ukamripoti baba kwa mjumbe wa nyumba 10 ili uruhusiwe kuendelea kukaa hapo angalau kwa miaka 15 ijayo ili uwe umeshajipanga.
😀😀😀😀😀mkuu ndo umemaliza kumshauri au umeupanga ushauri wako ki epsode?
 
Back
Top Bottom