Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
😂😂😂umefikiria ka mm,alitazamia watu wamjaze upepo hapa akaweke ding ndan kisa cha nyumba ya babu yakeTatizo lake alikuwa anataka sympathy kwa wadau
Ukiangalia mwanzo amesema kuwa “Baba yake alikataa kabisa ajihusishe na mambo ya siasa”
Hayo ni maneno ya baba yake kuwa hapendi siasa na wapo wengi hawapendi siasa kwa ujumla
Ila yeye ameona amtafutie kesi baba yake na kupata sapoti
Hapo amepiga mahesabu kuwa baba atafungwa na yeye atarithi nyumba [emoji23][emoji23]
Kuna watu wanapenda mirathi mpaka wanaweza kuuwa
Kuna kitu hakipo sawa ndani yako (judging from maandishi yako).... wewe huna maelewano sio tu na baba yako bali na ukoo wenu wote kisa hiyo nyumba ya urithi.... nakushauri ukajishikize kwa mjumbe huku ukitafuta kazi na sehemu ya kuishi.Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccm
Kweli,!?Udsm-udbs
Ujinga mzigo hiyo nyumba ya baba yake Baba yako sio yako kabisa labda omba msamaha. Baba yako anajitambua kuliko ww, kweli Elimu za wakati huu ni Bure kabisaKuandikisha wapiga kula.
Nimeishia hapo tu
Kuandikisha wapiga kula.
Nimeishia hapo tu
Akili za CCM utazitambua tuKwa kweli kwa kijana mdogo kama wewe mwenye umri wa miaka 28 tu mi naona baba anakosea kukuambia uhame hapo nyumbani. Yeye anategemea kwa umri wako huo mdogo we utaenda wapi na ndio kwanza umemaliza chuo kikuu mwaka jana? Baba alitakiwa akuache kwenye kile chumba ambacho babu alikuachia na akasema usinyanyasike hapo nyumbani. Mimi nakushauri ukamripoti baba kwa mjumbe wa nyumba 10 ili uruhusiwe kuendelea kukaa hapo angalau kwa miaka 15 ijayo ili uwe umeshajipanga.
Sikusemi vibaya, ila elimu yako haijakusaidia kuishi. Yaani baba ako karithi nyumba, akaamua kukurithisha elimu na bado unapigania chumba!?(umesema chumba hicho ni mali yako halali)Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimehangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji.
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfuata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake.
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji.
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe.
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali.
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
Wewe ni kama keshokutwa hii ID nyengine au.Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccm
Huna chako hapo. Omba huruma.Habarini ndugu zangu wana JamiiForums, matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimemaliza chuo kikuu mwaka jana
Tangu nimemaliza chuo, nimehangaika sana kupata kazi bila mafanikio.
Mwaka huu mwezi uliopita nilibahatika kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.
Baba yangu alikataa kabisa nisijihusishe kwenye mambo yoyote yanayohusiana na siasa kwa hiyo hakupendezwa.
Baada ya hilo zoezi la uandikishaji kuisha, juzi Ijumaa kuna mjumbe wa chama cha mapinduzi (CCM) aliniambia kuwa nimtafutie wanachama 20 tu kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, na kuahidi atanipa pesa ya maji.
Pale home jumla tupo watu 7 pamoja na ndugu wengine, nilitaka kwanza kuanza na familia yangu, nilimfuata baba yangu na kumueleza kuwa na yeye awe mmoja wapo katika watu 20 nilioombwa na mjumbe
Ndugu zangu baba alinitukana matusi mazito, siwezi kuyaandika hapa, mpaka kufikia kuniambia nitakuwa nimelaaniwa na dunia.
Kaenda mbali zaidi ananimbia kama ntashilikiana na watu wa CCM na kumhusisha yeye, ataniondoa kwenye nyumba tunayoishi, ukizingatia hiyo nyumba ni ya babu yangu ambaye yeye ni baba yake.
Marehemu babu yangu kabla ya kufariki alisema kabisa na wazi kuwa nisinyanyasike kwenye ule mji.
Wakuu mpaka ninapoandika hapa, baba atoa vitu vyangu nje, anasema nikahamie kwa huyo mjumbe.
Naombeni ushauri wenu wakuu, nataka kuipigania haki yangu, maana babu alisema kile chumba nilichokuwa nakaa ni mali yangu halali.
Nipo katika wakati mkuu, nisaidieni niende polisi au nifanye nini wakuu?
Asanteni.
Nyumba ni ya babu yako mrithi ni baba yako ww katafute chako au mwambie baba yako akutafutie .Nyumba ni ya babu yangu, ananitisha eti akinikuta ndani atanimwagia maji ya moto, anasema nikaishi ukouko kwa mjumbe wa ccm