SanaKaa mbali nae , huyo ni tatizo
Mle kimasihara mpaka apate mimba kama unamtaka ila kikubwa asiwe single mazaNikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lkn shida ni yule mtu nilienae".
Nifanyeje ili nmpate wakuu???
Nikimwita gheto anakuja
Nifanyeje ili nmpate wakuu???
NakaziaUsilazimishe mapenzi, Kama anasema ana mtu wake achana nae.
Kweli mtoto wa Nzi ni Nzi😀😀Kama ana mchumba wewe kuwa msebule kiongozi.....imeisha hiyoooo....