Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Clotrimasole
Tineacide na cream nyingine ambazo hata majina siyakumbuki but sijaona kama vimenisaidia. Usafi sawa, najikausha na towel but still persisted..nawaza sijui ninunue dryer ndogo?

Inawezekan Una allergic reactions na maji ya a in a flan Kama ya chumvi,mabadiliko mengn yatatokea Kama utabalisha lifestyle akikisha unajikausha na taulo vizur ukauke wakati ukimalixa kuoga,na uondoe hali ya uchafu mwilin kwa mfano oga ata Mara mbili kwa siku,uo muasho unaletwa na uchafu hasa maji ya chumvi yanatabia ya kutengeneza layers kwenye mwil
 
sawa captain ingawaje nilishapona naamini ushauri wako utasaidia wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…