Mtumzima
Senior Member
- Sep 10, 2008
- 165
- 117
Nakushauri achana kumdai Mzazi.Huyo ni Baba yako hujui kama anakupima? Wazee wengi huwapima watoto wao kwa njia nyingi.Kuna kitu anakipima kwako usifikiri hajui kwamba unamdai.Jiongeze na kama una kazi/biashara yako jitahidi uwe unampa hela bila kujali kwamba unamdai.Faida yake utaiona.Huyo ni Mzazi.Mwenye masikio na asikie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za uzima wakuu
Mimi ni kijana nina miaka 31, mwaka huu mwezi wa pili mungu akipenda natimiza 32 (kwa kweli litakuwa jambo la kumshukuru mungu kwa uhai huo)
Niende kwenye maada moja kwa moja
Kipindi nipo chuo 2013 nilikuwa napata bumu langu vizuri tu, baba yangu aliniomba nimsaidie sh laki 5 kipindi nipo mwaka wa pili nikampa kwa miadi kuwa atanirejeshea pesa yangu.
Mwaka wa tatu semister ya pili mzee akaniomba laki 4 tena uku akiwa bado hajanilipa laki 5 yangu, sikuwa na iyana nikampa
Jumla nikawa namdai SH LAKI 9 (900,000)
Baada ya kumaliza chuo na kurudi home ni mwaka wa 7 sasa baba hataki kunilipa deni langu
Umri wa kuondoka nyumbani umeshakaribia, nimemuomba mzee anipatie iyo pesa yangu nikapange chumba nifungue na biashara ila kila siku anasema hayupo vizuri
Wakuu naombeni ushauri wenj nifanyeje nipate aki yangu
Maana nikimuambia mambo ya siasa anasema kama naipenda ccm niondoke nyumbani kwakwe, wakati huohuo hataki kunipa ela yangu
Kila siku is naumia moyoni
Naombeni msaada wenu
Sent using komputa mpakato
Sent using Jamii Forums mobile app