Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

Du 32yrs, bado unaishi nyumbani, achana na hilo deni, jipange kwa mda kama miezi 3 hadi 6, upange ujitegemee. Utakua na nafasi ya kufanya maendeleo na kichwa kitachangamka kuliko kukaa home unaji limit uwezo wa kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jasho lako umelitoa wapi wewe ?, acha uzombie, hiyo hele ndogo sana Mheshimu Babayako, sio kumletea mada hapa JF, wenzako wote wana Baba zao na wamekaa kimya, wewe umesahau alivyokukosa na koleo ?
utakuta lenyewe ndio limemlostisha mshua alafu linaleta ngebe, pigwa bonge la radhi moja tu
 
Kama una miaka saba tangu uhitimu chuo na bado unategemea wazazi, nikwambie ukweli wewe ni janga. Iwapo hautaweka mipango ya maisha yako ya badaye rafiki yangu hata ukipewa milioni na baba yako, itaishia kwenye kodi ya chumba na vitu vya ndani. Tukianza kuorodhesha madeni tunayodai hilo lako chamtoto. Amka kijana nadhani sasahv una miaka zaidi ya 30 kubali kujitegemea sasa ili baadaye usiwe mzigo kwa familia. Halafu kumdai mzazi wako (unadai amesema hayuko vzr, na unaweza kuwa unajua kama ni kweli au lah!) Bado anakuhudumia, huoni kama ni kumuabisha hapa jukwaani? Sijui vijana tunakwama wapi.
 
Nins 23 ila naona ukakasi kukas home mwezi..nyie mnawezaje kufika hadi umri huo mpo kwenu?
Mdio maana hakukipi maana mngekya mbalimbali heshima ingekuwepo
 
Ungekuawa umepanga chumba kwa hiyo miaka saba ambayo uko kwa babako tokea umalize chuo ungekuwa umetumia shs ngapi we kijana wa CCM?

Then mpaka unafikia hatua ya kupokea boom kabla ya hapo nani alikuwa anakugharimia maswala yako ya Elimu, mavazi, afya, chakula na mengineo?

Kama ni kudaiana, wewe na babako nani anamdai mwenzake?
 

Watu mna baba zenu na mnawadai vitu vidogo mpaka mnawaanika Mitandaoni,
Mzee wangu alitoweka mwaka 2000,nimesoma na kukua bila uwepo wake, Laiti angekuwa hai Huu msimu wa sikukuu ningekaa nae tungekula wote bia na nyama,
Apumzike kwa Amani,
Mshukuru sana Mungu kwa kuwa mzazi wako yuko hai.
 
Mkuu bado unagombana na baba yako [emoji28][emoji28]hiyo nyumba ya urithi muachie babako ww ondoka na hela muachie tu
Lasivyo utapata mabalaa na udiwani ushindwe kuupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ako angekuwa na uwezo wa kukurudisha kwenye pumbu basi angefanya hivo afu mbegu yako aipigie puchu udondoshwe bafun ukafnye utelezi

Mzaz adaiwi kamwe fnya tu kama umecheza tatu mzuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…