Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
[emoji457]Huyo mwanamke aliekupenda na anakupenda ila kwasasa anaangalia Zaid future ya mwanae na maisha yake.
Maana wee tayar umeoa na ndo maana anahangaika kutafta mahusiano mengine ya peke yake uku na kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii quotation unaendeleaje kumpenda? Utaishi naye vipi hata ukiamua kumuoa?Sasa huyu mzazi mwenzangu hatujawahi kuwa na stable relationship kwa muda mrefu. Furaha yetu imedumu sana labda mwezi mmoja lakini throughout ya mahusiano yetu ni migogoro tu, hakuna amani kabisa.
Umeandika mawazo yangu kabisa 100%Mwanamke yoyte akishaona kakufanyia Jambo la kipumbavu mkagombana afu ukamsamehe anaona tayar wee Ni zoba wake.
Baada ya Hapa anachokufanya Ni kumanipulate tu akili yako kila anapojiskia.
Dawa yake Ni kwenda nae ki-TALEBAN
Akiweka ya shingo, ww unaweka ya ROHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahii kabisa mkuu,Umeandika mawazo yangu kabisa 100%
Hii ndo yenyewe Kuna demu mmoja naenda naye sana hii mwenyewe anajirudishaga nacheketua namcheki akileta hizo Tena mie cool tu najua anaruka ruka ataileta tu na akiieleta anarudigi kwa discipline sana [emoji23][emoji23] mana huwa anakutana na jibwa jingine huko nahisi Hadi anaona Bora jibwa mie mana si wanasema wanaume wote mbwa tuMwanamke yoyte akishaona kakufanyia Jambo la kipumbavu mkagombana afu ukamsamehe anaona tayar wee Ni zoba wake.
Baada ya Hapa anachokufanya Ni kumanipulate tu akili yako kila anapojiskia.
Dawa yake Ni kwenda nae ki-TALEBAN
Akiweka ya shingo, ww unaweka ya ROHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa amekua huyo ,bila shaka aliwapanga sana,na sasa lazima anatamani kutulia na mtu wake ,chunguza kwenye list yake utakuta kuna mwamba amemuelewa na anatarajia kubeba jumla.Mpe mwaka tu utaleta mrejesho .Labda umchukue kama mke wa pili na iwe rasmi kabla hujawahiwaSwali dogo. Ina maana miaka yote hiyo hajapata mtu wa kueleweka? Kama miaka yote hajaweza kupata mtu wa kueleweka kipi kitabadirika ili apate?
Kisirani cha mavi[emoji1787][emoji1787]MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.
Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.
Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.
MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.
Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.
Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.
View attachment 2451284View attachment 2451285View attachment 2451287
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea nenoHuyo mwanamke aliekupenda na anakupenda ila kwasasa anaangalia Zaid future ya mwanae na maisha yake.
Maana wee tayar umeoa na ndo maana anahangaika kutafta mahusiano mengine ya peke yake uku na kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee "usipende kujipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha yangu". Mimi msomaji tuu nimeumia na hayo maneno sipati picha mhusika amefeel vipi nimemuonea huruma sana.MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.
Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.
Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.
MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.
Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.
Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.
View attachment 2451284View attachment 2451285View attachment 2451287
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi nicheke...kwamba yawezekana jamaa dish limeyumba!!!???[emoji1787]Mbona naona kama umeshikwa akili hivi au labda dish limeyumba?
Una mke wa ndoa, na una mwanamke uliyezaa naye mtoto kabla ya yule wa ndoa...
Lakini akili yako inapelekeshwa na huyo uliyezaa naye na mmejiachia kama wanandoa vile...
Shubamittti
Malaya anapataje mtu wa kueleweka? Anatongoza wachezaji atapataje?Swali dogo. Ina maana miaka yote hiyo hajapata mtu wa kueleweka? Kama miaka yote hajaweza kupata mtu wa kueleweka kipi kitabadirika ili apate?
Unamshauri amtelekeze mtoto aliyezaa na mchepuko au!? Maana kuachana na mchepuko kutaambatana na kupoteza mawasiliano na mtoto.Siku zote chagua moja sio kupenda kuwa na vyote.
Kwanza inaonyesha una tamaa mwanaume anayejitambua hawezi kuwa na familia mbili !!!
Chagua kuwa na mke mmoja au labda Kama wewe ni muislamu sawa
Lakini mapenzi hayawezi kuwa kwa watu wawili iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume juu ndio ukweli mchungu!!
Kumbe unapenda kusikia unayopendaAt least wewe umenipa neno la faraja. Asante sana.