Unazngua mkuu, wew umeoa sasa alafu unatak akupe antetion 100%
Wew kaz yako kuhudumia mtoto either na kupasha kiporo ,punguza matarajio juu yake acha upuuz wa kumfatilia kama mkeo , kaa kausha hakikish yeye akikutafuta kuw active asipokuchek achana nae
Kumbuku kabla ya uponanyi lazma uptie maumivu usijarbu kuepuka pain its part of healing
Wishing you the best