Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
montessori Karibu na shule ya msingi eneo nikubwa unaweza jenga hata nyumba tatu hivi pia lina miti pia niliwahi kutaka kujenga nyumba kwahiyo nilichimba kiwanja kabisaUnauza bei gani nione kama naweza ku risk
Na ni Lushoto sehemu gani exactly mkuu?
taja na bei mkuumontessori Karibu na shule ya msingi eneo nikubwa unaweza jenga hata nyumba tatu hivi pia lina miti pia niliwahi kutaka kujenga nyumba kwahiyo nilichimba kiwanja kabisa
Milioni tatu tu na nusutaja na bei mkuu
Tumia hati ya kijijiWakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza naombeni u
Mbna bei ndogoMilioni tatu tu na nusu