Msaada wenu wakuu

Msaada wenu wakuu

mj909

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
86
Reaction score
204
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza naombeni ushauri
 
Unauza bei gani nione kama naweza ku risk

Na ni Lushoto sehemu gani exactly mkuu?
montessori Karibu na shule ya msingi eneo nikubwa unaweza jenga hata nyumba tatu hivi pia lina miti pia niliwahi kutaka kujenga nyumba kwahiyo nilichimba kiwanja kabisa
 
montessori Karibu na shule ya msingi eneo nikubwa unaweza jenga hata nyumba tatu hivi pia lina miti pia niliwahi kutaka kujenga nyumba kwahiyo nilichimba kiwanja kabisa
taja na bei mkuu
 
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza naombeni u
Tumia hati ya kijiji
 
Back
Top Bottom