Ushawahi ona au kusikia mvuvi mgeni akitolewa kafara Carrasco putinUtatolewa kafara kijana kuwa makini
Jiweke kiroho vizuri, kwenye maisha ya baharini au ziwani Kuna vitu vya kiroho vizito...Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea.
Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi?
Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa yapi kwa hizi siku za mwanzo? Changamoto zake ni zipi?
Kwa kweli kazi ya uvuvi inahitaji moyo, kujitoa kweli kweli kwani ni too risk,, kutokana na kazi zake kufanyika majini, japo hakuna kazi isiyo na risk,, kingine Kuna visa vingi vya ajabu hutokea huko majini,, hii husababishwa na UGOMVI miongoni mwa wavuvi wa kundi moja na jingine ama miongoni mwenu wenyewe,,, hivyo ni kujipanga haswa,,, by the way kazi risky zote huwa zina faida,, wavuvi pia wanapata faida kubwa,, japo ndo hivyo wengine wanashindwa kutumia hiyo faida ipasavyo.Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea.
Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi?
Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa yapi kwa hizi siku za mwanzo? Changamoto zake ni zipi?
Siyo kweli. Kazi inafanyika bila hata vifo. Kwa kifupi ajari ya majini ina % kubwa ya kupona kuliko barabaraniUtatolewa kafara kijana kuwa makini
Uongo huo ndugu. Mpaka muda huu nachati niko ziwaniJiweke kiroho vizuri, kwenye maisha ya baharini au ziwani Kuna vitu vya kiroho vizito...
Yeye anaulizia wavuvi wa baharini wao hawana smartphone ila angeuliza wale wa kayenze na ukerewe majibu mbona yalikuwepo.Kuna anaejua kwa nini majibu ya msaidizi wa uvuvi yamechelewa kutoka maana ishapita miezi 5
Sawa mjomba geteUongo huo ndugu. Mpaka muda huu nachati niko ziwani
Nipe connection binamu na me nijeUongo huo ndugu. Mpaka muda huu nachati niko ziwani
Hakuna connection huku. Ili mladi unajua kazi tuNipe connection binamu na me nije