Vp mzee wameunban au badoWakuu habari
Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out)
Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap.
Nashangaa tatizo ni nini?
Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo.
Kuna watu wamenireport vibaya ama?
Too bad naambiwa review inaweza chukua 24 hours. I am totally confused.
A picture is attached.
Nifanye nini hapa kuweka sawa wataalamu?
Msaada pls.
PoleeeWapuuzi sana wale, wameondoa ban eti walifanya kimakosa.
Oyaaa yani me wananiban wanafungua wananiban tena yaan mchezo ndo huooo adi account yangu moja imekula permanent banWapuuzi sana wale, wameondoa ban eti walifanya kimakosa.
Bila whatsapp maisha hayaendi?😅Asante,
Siku nzima nilikosa mawasiliano ya whtsap
Hahaha yanaenda, uzuri natumia account 2 kwa whatsap 1 iliyo kwenye simu yangu. Lakini waliyopiga ban ndio major account....namba ambayo ninayo tangu mwaka 2006 nikiwa shule.Bila whatsapp maisha hayaendi?😅