Msaada, Wiki moja Sasa Jogoo Wangu hasimami

Msaada, Wiki moja Sasa Jogoo Wangu hasimami

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habari Jf doctors!
Ni wiki sasa jogoo (uume) wangu haujawahi kusimama , iwe asubuhi au usiku jamaa kalala ,, sijui sababu gani? najitahid kunywa Maji mengi na kufanya mazoez kila siku Ila jamaa yupo kimya tofauti na kipindi cha nyuma.
Nisaidieni wadau
 
Uzeee af acha kuangalia porno kijana zina madhara
Usimdikirie kwann hasimami kwani ukifanya hvyo ndo kama unaaminisha akili yako ili asisimame kabisa
 
Kwa matatizo ya mapungufu ya nguvu za kiume nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide..dawa ni mitishamba asili
 
Back
Top Bottom