Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane
Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na alikuwa ana enjoy sana jamaa mpya huyo anasema alimpendea pesa tu aisee so anataka kurudi kwangu aisee
Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na alikuwa ana enjoy sana jamaa mpya huyo anasema alimpendea pesa tu aisee so anataka kurudi kwangu aisee